Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Mumeo anabaka na kulawiti watoto wenu? Ajabu sana, bado mnaishi pamoja hadi sasa?Asilaumiwe mwanamke anayeacha mtoto wa miaka sita na bodaboda? Hasa kipindi hiki ambacho hata wababa wanabaka watoto wao? Unatetea nini mkuu?