Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

Attachments

  • Screenshot_20241226_163150_Instagram.jpg
    Screenshot_20241226_163150_Instagram.jpg
    300.2 KB · Views: 3
Mwanamke Unaacha mtoto wako kwa mtu kama hivi na unaenda ku enjoy kabisa😭😭😭
 
"Single maza" nchi za watu wanawabana wanaume kutozaa ovyo sababu watawajibika katika malezi hapa naona mada imegeukia kuwa attack Single mother. Kuleta kiumbe duniani ni jukumu la wote wanaoshiriki to look after the baby sasa sijui wale ambao mmewafanya hawa single mother kama kituko ni uelewa mdogo au ni ushamba. Hili jukwaa nadhani lipo kwa ajili ya kupashana habari na kujifunza if you want it na lina ke/me. Humu kuna single mother and father so sioni kwa nini single mother wanakuwa attacked kila wakati.
 
Unamuachia boda mtoto wako wanaume wenyewe wafiraji kweli???? Unaaminije mtu kumuachia mtoto mdogo hata kama angekuwa na miaka 18 huwezi muacha na mwanaume ndani
Mi sio boda tu hata kama ni ndugu ambae ni askofu siamini mtu kijinga juu ya mtoto wangu
 
Daah pole sana kwa baba mtoto. Mama mtoto kicha nazi kabisa halafu inawezekana hito ndio tabia yake huyo mama. Baadae mtoto akikua unakuja kusikia keshaharibiwa kitambo kwa sababu alikua analala na bodaboda kipindi hicho.

Haya mambo lazima yanaanzia mbali sana. Huyo jamaa naye kuna namna hayuko sawa
Baba wa kumzaa huyo mtoto amekufa au hajulikani??
 
Unaacha mtoto wa miaka sita na dereve bodaboda? Uliyemjua tu kwakuwa anakubeba? Hapana, ifike wakati na sisi wanaume tuangalie sana sehemu tunapoweka mbegu zetu.

 
Ajali kazini.

Tusimlaumu mama wa mtoto, wa kulaumiwa ni huyo mwanaume aliyekuwa naye.

Naamini Polisi watafanya uchunguzi na kutoa taarifa kwa Watanzania
Asilaumiwe mwanamke anayeacha mtoto wa miaka sita na bodaboda? Hasa kipindi hiki ambacho hata wababa wanabaka watoto wao? Unatetea nini mkuu?
 
Back
Top Bottom