Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

Ustawi wa jamii na mahakama huwa wanampa mtoto mzazi anayeweza kumtunza. Baba wa mtoto alifanya jitihada gani kupewa mtoto kisheria aishi naye yeye??
Umejuaje huyo mwanamke hana uwezo wa kutunza mtoto?

Ustawi wa jamii hawampi kirahisi baba aishi na mtoto chini ya miaka 7. Unless uwe na proof serious kama kuwa mwanamke ni ombaomba au ana ugonjwa wa akili.
 
Unaacha mtoto wa miaka sita na dereve bodaboda? Uliyemjua tu kwakuwa anakubeba? Hapana, ifike wakati na sisi wanaume tuangalie sana sehemu tunapoweka mbegu zetu.

Huyo mama ukimuangalia tu anaonekana ni slayqeen
Dangaji tu
Mama anayejielewa hawezi kufanya upumbav kama huo
Ni bora angeenda kumwacha kwa ndugu zake...

Ova
 
Asilaumiwe mwanamke anayeacha mtoto wa miaka sita na bodaboda? Hasa kipindi hiki ambacho hata wababa wanabaka watoto wao? Unatetea nini mkuu?
Mwanamke ni kiumbe dhaifu.

Nikutegemea lawama ziende kwa huyo mwanauke sijui ni Afisa Uvuvi aliyeondoka na mama wa mtoto na kukubali mtoto kuachwa kwa bodabida.
 
Mwanamke akigeuka mbwa ni hatari sana!
🤭🤭🤭🤭
Yani mtu una mtoto mdogo unamuachia bodaboda mtu baki saa sita za usiku halafu yeye anaenda kupigwa miti na mhuni hadi asubuhi hiyo ni akili au matope. Hawa wamama wa kisasa hawa tabu tupu.
So sorry for the poor boy.
 
Aisee.

Mtoto anaitwa Greyson Kanyenye Mabuya na huyo mchizi anajiita Godlove.
Mkuu inawezekana jamaa godlove alizalisha tu akakimbia. sasa ikiwa hivyo mwanamke si anaweza kumuita mtoto kwa majina ya upande wake?
 
Bahati mbaya sana kwa huyo mtoto.
Huu ni ushahidi mwingine kwamba maisha ya viumbe hai hayatawaliwi na supernatural power yoyote kama watu wa dini wanavyodai.
 
Back
Top Bottom