Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

Wanawake wa sikuizi wanabambikiza watoto
Mtoto wa handsome anakwenda kulelewa na tajiri

Isije kuwa kisasi
 
Daah pole sana kwa baba mtoto. Mama mtoto kichwa nazi kabisa halafu inawezekana hiyo ndio tabia yake huyo mama. Baadae mtoto akikua unakuja kusikia keshaharibiwa kitambo kwa sababu alikua analala na bodaboda kipindi hicho boda akaanza kujisevia kitoto.

Haya mambo lazima yanaanzia mbali sana. Huyo jamaa naye kuna namna hayuko sawa
 
Mwangalizi mkuu wa familia ni mama. Mama akiwa smart hata libaba liwe takataka familia mambo yataenda bila tatizo. Ila mama asipokuwa smart kuchukua nafasi yake sawasawa naye akaanza kuendekeza starehe na upuuzi mwingi hiyo familia haitoboi.

Mama mwenye akili unamkabidhije mwanao mdogo asiyejua hili wala lile kwa bodaboda ili wewe ukastarehe?
Nimetetemeka aisee! Unamuachaje mwanao mdogo na dereva bodaboda?? Halafu anajiita mfanyabiashara maarufu ! So, hana wasaidizi hapo kwake? Hana ndugu awaachie?

Maswali ni mengi nisihukumu
 
Malezi ya watoto siku hizi watu wameyarahisisha?!!!
Unaachia mtoto bodaboda?? 😳
Bodaboda hawa hawa wanaovuta bhangi na kunywa k-vant??
Unaamini vipi kuwa aliachiwa bodaboda! Iyo boda anafanya kazi usiku wote! Uyo mama Na mwenzawake wanajambo la kueleza.
 
Back
Top Bottom