Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa kikatili na watu wasiojulikana

Asilaumiwe mwanamke anayeacha mtoto wa miaka sita na bodaboda? Hasa kipindi hiki ambacho hata wababa wanabaka watoto wao? Unatetea nini mkuu?
Mumeo anabaka na kulawiti watoto wenu? Ajabu sana, bado mnaishi pamoja hadi sasa?
 
Maneno yako yanagusa mpaka moyoni,ukweli unao uma
 
Halafu habari yenyewe inaning'inia na kuacha maswali mengi kwa hadhira.

Nadhani Rpc wa Ddm si msemaji mzuri, katuachia maswali sana kuhusu tukio hilo.

Je huyo boda boda kama aliachiwa mtoto kama watu wanaoelewana na kufahamiana yaani majirani wema, kuna tatizo gani?

Mara ngapi watu tumeona wakiwapost watoto maeneo mbali mbali bila kuambatana na wazazi wao kupitia boda kuwapeleka shule ama kuwarejesha nyumbani?

Na je huyo boda ndiye mtuhumiwa mkuu wa mauaji ama namna gani?

Rpc katuacha kwenye ombwe, lakini kuelekeza lawama kwa mtu kabla hatujapata habari zilizojitosheleza tunakosea wadau.
 
Mumeo anabaka na kulawiti watoto wenu? Ajabu sana, bado mnaishi pamoja hadi sasa?
Una matatizo ya kisaikolojia, tafuta tiba kabla mambo hayajawa mabaya mkuu.
 
Upo umuhimu wa hizi sheria tulizoiga kwa weupe kubadilishwa,mwanamke kumlea mtoto akiwa peke yake hawezi watoto huwa wanageuka rubbish hawajui hata dunia inavyoenda.

Kama hapa lijianamke lililoingia leba limeacha mtoto chini ya uangalizi wa bodaboda,hao jamaa inajulikana wazi akili zao hata haziwatoshi wenyewe leo unamkabidhi mtoto under ten akuangalizie tena usiku?

Hovyo kabisa
 
Mumeo anabaka na kulawiti watoto wenu? Ajabu sana, bado mnaishi pamoja hadi sasa?
Jimbi umesoma ukaelewa alichoandika uliyem-quote?

Kwako wewe aliyemuachia mtoto bodaboda waliyefahamiana nae kwa sababu za usafirishaji unamuona ana akili au hana?sometimes onyesha una akili walau kidogo siyo unaunga mkono kila ujinga na wewe utaonekana mjinga.
 
Watu Wana roho mbaya sana

Alafu eti Kuna watu wanasema Sheria ya kunyonga iondolewe

Sasa mtu kama huyo akikamatwa Kwa Nini asinyongwe?
 
Ndiyo tatizo la mal@ya yaani anaona "ukuni" una thamani kuliko mtoto....yaani unamuacha mtoto bila uangalizi kwa zaidi ya saa 12 tena usiku ,mabodaboda wenyewe ni wehu halafu unamuachia mtoto.
 
Uko sahihi
 
kwa kuwa chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Tuendelee kusikitika nyuma ya keyboards
 
Hivi unamwachaje mtoto wako mdogo na bodaboda usiku?hiyo mchana yenyewe huwezi muacha mtoto na bodaboda huyo dada achunguzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…