Mambo ya ajabu sana kwahiyo wakimshika ndio maji yatatoka au inakuaje, uhuru wa kutoa maoni uko wapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI DODOMA
Mwanafunzi wa mwaka wa pili anayesoma Sayansi ya Asili (Natural Science ) chuo kikuu cha UDOM , Mugaya Tungu alikamatwa Jan 21 mwaka 2020 akiwa chumbani kwake ndani ya bweni la Wanafunzi UDOM.
Mwanafunzi huyo alikamatwa na polisi bila kuambiwa kosa lake ni lipi na kwanini alikamatwa. Baada ya kukamatwa alipelekwa kituo cha polisi chimwaga Dodoma.
Lakini pia rafiki yake wa karibu (jina lake limehifadhiwa) naye alifuatwa kukamatwa usiku lakini alishtukia mapema na hakuweza kulala chumbani kwake hivyo polisi walimtafuta na hawakumpata.
THRDC tumefuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi huyo na kupata taarifa kwamba mwanafunzi huyo anadhaniwa kupiga picha zinazoonyesha uhaba wa maji katika chuo kikuu cha Dodoma. Wanafunzi wanapata changamoto sana kuhusu maji hali inayowasababishia kupanga foleni muda mrefu na pengine kuchelewa masomo darasani, hivyo mwanafunzi Tungu anadaiwa kupiga picha za wanafunzi wenzake wakiwa wamepanga foleni muda mrefu na kwa wingi na hatimae kukamatwa kwake.
Wanafunzi wenzake walienda leo jan 22, 2020 mnamo sa saba mchana kwenye kituo cha polisi alipowekwa mwanafunzi Tungu lakini hawakufanikiwa kumuona. Wanafunzi wenzake baada ya kufika kituo cha polisi waliambiwa kuwa Tungu amepewa dhamana ya polisi lakini walipohoji endapo kuna mtu amemdhamini waliambiwa hayo hayawahusu.
Hata hivyo wanafunzi wenzake wamejaribu kupiga simu zake hazipatikani na mwanafunzi huyo hajaonekana bwenini mpaka sasa hivyo bado haijulikani alipo.
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi Mugaya Tungu, na tutawapa taarifa kadri tutakavyobaini.
Imetolewa na
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania ( THRDC)
Jan 22, 2020
Dah ivi nkitaka kua raia wa malawi kabisa nfanyaje?
Dahhh! Naona Una funza tu kichwani... Kweli Binadamu tupo tofauti... Watu Wanafiki kama Wewe walikuwepo hata Enzi ya Ukoloni."Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu GIZA ni GIZA, NURU ni NURU. ......... Sbb zozote za kubadilisha hali hizi ni Ulemavu wa akili."Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini unatambua wazi uongozi wa chuo mara nyingi huwa wanajua usumbufu unakuwa serikalini hadi kupata solutions za matatizo yanayowakumba huwa ni mzito mno kiasi cha kuwaachia wanafunzi wataabike hadi anapotokea kijana kama huyo kutetea wanafunzi wenzake ndipo solutions zipatikane kwa sacrifice.
You"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kusema kosa la mwenye kosa kwa mlea kosa.
WEWE NI **** KABISA KISA BABA YAKO ANAMDUNDA MAMA YAKO UNAONA AIBU KUSHIRIKISHA JAMII MAMA YAKO APATIWE MSAADA?"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali yetu ina Mambo ya Ajabu Sana, hilo ni Kosa la Kushikilia mtu Kweli?
Ulisajiri kwa vidole? Shauri yako
"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"