Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

Utawala huu wa kishetani sana unatia kinyaa watu tunaishi kama watumwa kwenye ardhi yetu kisa kuna li mtu limoja halipendi kuambiwa kuwa kuna sehemu limekosea.
Mambo ya ajabu sana kwahiyo wakimshika ndio maji yatatoka au inakuaje, uhuru wa kutoa maoni uko wapi?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni sana kwa kazi yenu japokuwa kuna jamaa mmoja hawapendi hata kuwasikia kwa sababu matendo yake yapo against nanyi.
MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI DODOMA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili anayesoma Sayansi ya Asili (Natural Science ) chuo kikuu cha UDOM , Mugaya Tungu alikamatwa Jan 21 mwaka 2020 akiwa chumbani kwake ndani ya bweni la Wanafunzi UDOM.

Mwanafunzi huyo alikamatwa na polisi bila kuambiwa kosa lake ni lipi na kwanini alikamatwa. Baada ya kukamatwa alipelekwa kituo cha polisi chimwaga Dodoma.

Lakini pia rafiki yake wa karibu (jina lake limehifadhiwa) naye alifuatwa kukamatwa usiku lakini alishtukia mapema na hakuweza kulala chumbani kwake hivyo polisi walimtafuta na hawakumpata.

THRDC tumefuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi huyo na kupata taarifa kwamba mwanafunzi huyo anadhaniwa kupiga picha zinazoonyesha uhaba wa maji katika chuo kikuu cha Dodoma. Wanafunzi wanapata changamoto sana kuhusu maji hali inayowasababishia kupanga foleni muda mrefu na pengine kuchelewa masomo darasani, hivyo mwanafunzi Tungu anadaiwa kupiga picha za wanafunzi wenzake wakiwa wamepanga foleni muda mrefu na kwa wingi na hatimae kukamatwa kwake.

Wanafunzi wenzake walienda leo jan 22, 2020 mnamo sa saba mchana kwenye kituo cha polisi alipowekwa mwanafunzi Tungu lakini hawakufanikiwa kumuona. Wanafunzi wenzake baada ya kufika kituo cha polisi waliambiwa kuwa Tungu amepewa dhamana ya polisi lakini walipohoji endapo kuna mtu amemdhamini waliambiwa hayo hayawahusu.
Hata hivyo wanafunzi wenzake wamejaribu kupiga simu zake hazipatikani na mwanafunzi huyo hajaonekana bwenini mpaka sasa hivyo bado haijulikani alipo.

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi Mugaya Tungu, na tutawapa taarifa kadri tutakavyobaini.

Imetolewa na
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania ( THRDC)
Jan 22, 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh! Naona Una funza tu kichwani... Kweli Binadamu tupo tofauti... Watu Wanafiki kama Wewe walikuwepo hata Enzi ya Ukoloni.
 
"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu GIZA ni GIZA, NURU ni NURU. ......... Sbb zozote za kubadilisha hali hizi ni Ulemavu wa akili.
 
Taarifa rasmi zinatakiwa kutolewa na vyuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini unatambua wazi uongozi wa chuo mara nyingi huwa wanajua usumbufu unakuwa serikalini hadi kupata solutions za matatizo yanayowakumba huwa ni mzito mno kiasi cha kuwaachia wanafunzi wataabike hadi anapotokea kijana kama huyo kutetea wanafunzi wenzake ndipo solutions zipatikane kwa sacrifice.
 
"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
You

Cheap wasted sperm

WEWE NI **** KABISA KISA BABA YAKO ANAMDUNDA MAMA YAKO UNAONA AIBU KUSHIRIKISHA JAMII MAMA YAKO APATIWE MSAADA?
HIVI UNAJUA MWANAFUNZI ANAPOKUWA SHULENI SHIDA ANAYOIPATA?
AU NDIO MWENYE ELIMU ZA DARASA LA TATU MKOLONI NA MPATA PESA KWA KUWAULIWA WATU GIZANI NA MNAJISAFISHA KWA MALUNDO YA SADAKA KATIKA NYUMBA ZA IBADA?
SIO LAZIMA KUTOA MAONI KWA KILA UNACHOKIONA KAMA HAUJAELEWA
.

Sikia ukiona hatua hiyo imefikiwa ni ishara wazi tayari uongozi wa chuo umefeli kuweza kutatua shida iliyopo, kwa namna nyingi kafanya jambo jema kuipa serikali taarifa ili wanafunzi waweze kupatiwa msaada wa haraka ama kutambua madudu yyanayoendelea chuoni hapo

sasa kisheria hakuna kosa kabisa labda abambikiwe kuhujumu uchumi maana ndio lililobakia kwa sasa,
Laiti angekuwa mdogo wako nadhani ungeelewa uhalisia wa mambo jinsi ulivyo,
Ndio maana hadi sasa kuna maovu mengi sana yanaendelea nchini lakini wananchi wanaogopa kabisa kufanya ushirikiano na serikali sababu tayari unakuwa hatalini kama hizo taarifa zinaweza kuigusa serikali ama watu walioko serikalini moja kwa moja.

Jifunze kwanza kuweka ubinaadamu mbele kabla ya akili zako hazijafanya kazi kama machicha ya kimpumu,

Siku zote unaambiwa "ukiwa mtembea kwa miguu barabarani zingatia kwanza usalama wako kisha sheria ya usalama uifuate"

Sasa endelea kung'ang'ana na zebra wakati gari zishatungua huko speed 120km/h
 
Nilijua tu kuna kilaza mmoja ataibuka kufanya mwanafunzi aonekane alikosea,pumbaf sana we jamaa kuishia kwako la tano B kusikufanye uwe na chuki na waliofika.
 
"Mzazi wako, alilewa mpaka akajikojolea"
Wewe mtoto unatangaza kwa majirani! Unapata faida Gani? Badala ya kuwajurisha babu na bibi yako, wewe unawaambia majirani?
Sasa anaonesha shida ya maji kwa dunia nzima anategemea dunia itakuja kutatua hii shida,?kwanini hakutuma hizo picha wizarani, kwa mbunge au waziri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo we ukibakwa utamwambia huyo huyo aliekubaka badala ya kwenda polisi,ukileta mifano ya kipumbavu na wewe huna budi kutolewa mifano ya kipumbavu kwasababu ya upumbavu wako
 
Back
Top Bottom