LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
 
Wakuu,

View attachment 3163113
View attachment 3163115

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
ni muhimu sana akachukuliwa hatua kali zaidi kwa virungu vya kutosha,

kabla ya kuswekwa korokoroni kwa mapumziko kidogo na kisha kushtakiwa mahakamani kwa kuvuruga na kuhujumu kwa makusudi zoezi tulivu sana la kitaifa, la uchaguzi wa Serikali za mitaa.

hatuwezi kuvumilia ulevi wa ain hiyo hata kidogo 🐒
 
Vurugu zimeibuka katika kituo cha kupigia kura cha Site 1 mtaa wa Mlimwa jijini Dodoma kati ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga na wasimamizi wa uchaguzi baada ya Mwenyekiti huyo kubaini wapiga kura ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la mkazi wakiruhusiwa kupiga kura.

Jambo TV imemtafuta Msimamizi wa uchaguzi mkoa wa Dodoma, Charles Mduma ili kujua iwapo anafahamu kuhusu vurugu hizo na kilochoelezwa na mwenyekiti huyo, na kuahidi kuwa anafuatilia ili kubaini kilichotokea.

Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Hayo ndiyo maelekezo ya Samia wenu
 
Back
Top Bottom