LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
ni muhimu sana akachukuliwa hatua kali zaidi kwa virungu vya kutosha,

kabla ya kuswekwa korokoroni kwa mapumziko kidogo na kisha kushtakiwa mahakamani kwa kuvuruga na kuhujumu kwa makusudi zoezi tulivu sana la kitaifa, la uchaguzi wa Serikali za mitaa.

hatuwezi kuvumilia ulevi wa ain hiyo hata kidogo 🐒
Kabisa mkuu maana sio kwa mkwara huo! Uenyekiti tu unamtoa kijasho chembamba huyu sheria ichukue mkondo wake ili wengine wajifunze maana ataambukiza
 
Habari za wakati huu,
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa dodoma ameenda na watu ambao hawajaanfikishwa katika daftari la wapiga kura ili kufanya udanganyifu
Nashauri hao watu pamoja na mwenyekiti wachukuliwe hatua za kisheria kwasababu wameenda kufanya udanganyifu ilihali wanajua walitendalo ni kosa kisheria
 
Wenzako wanakuja na picha na video clip wewe unakuja na maneno matupu?
 
Habari za wakati huu,
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa dodoma ameenda na watu ambao hawajaanfikishwa katika daftari la wapiga kura ili kufanya udanganyifu
Nashauri hao watu pamoja na mwenyekiti wachukuliwe hatua za kisheria kwasababu wameenda kufanya udanganyifu ilihali wanajua walitendalo ni kosa kisheria
Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania.

Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu mbalimbali wakiwemo:

1) Steven Chalamila wa Jimbo la Tunduma aliyevamiwa na kukatwakatwa mapanga kikatili hadi umauti kumkuta.
2) Modestus Timbisimilwa, Mgombea nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ulongoni A, Kata ya Gongolamboto, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam aliyeuwawa na askari kwa kupigwa risasi wakati wa purukushani za kuzuia kura bandia na batili kuingizwa kituo cha kupiga kura.
3)George Juma Mohammed wa Kitongoji cha Stand Kata ya Mkwese Jimbo la Manyoni Mkoani Singida aliyevamiwa nyumbani kwake na watu waliofahamika kuwa askari na kumpiga risasi iliyomsababishia umauti.

Aidha, tuna taarifa kadhaa za kujeruhiwa na kukamatwa na Polisi viongozi, wagombea, wanachama na wapenzi wetu maeneo mbalimbali ya nchi walipokuwa wakijitahidi kukamata na kuzuia kuingizwa vituoni kura bandia na batili zilizopigwa tayari kuwabeba wagombea wa CCM.

Tunataka watu wetu hawa waachiwe haraka na bila masharti yeyote.

Tunaendelea kuwasiliana na Chama kitatoa tamko rasmi zoezi hili likikamilika.

Tunaamini kinachofanyika kina maagizo na baraka zote za @SuluhuSamia na Serikali yake na au nchi iko kwenye "autopilot" na yeyote katika eneo lake ana mamlaka ya kunajisi uchaguzi anavyotaka kwani tayari wamepewa kinga na Kanuni ya 49 ya Kanuni za Uchaguzi wa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa inayosema, nanukuu:

"Msimamizi wa Uchaguzi, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, Msimamizi wa Kituo, Wajumbe wa Kamati ya Rufani au mtumishi yeyote wa Umma aliyehusika na usimamizi wa uchaguzi hatowajibika kwa Jinai au Madai au kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu au za kiutawala kwa jambo lolote alilolifanya au kuacha kulifanya kwa nia njema wakati wa kutekeleza majukumu yake chini ya Kanuni hizi". Mwisho wa kunukuu.

Hakika Taifa lina Msiba mwingine!!
 
Habari za wakati huu,
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa dodoma ameenda na watu ambao hawajaanfikishwa katika daftari la wapiga kura ili kufanya udanganyifu
Nashauri hao watu pamoja na mwenyekiti wachukuliwe hatua za kisheria kwasababu wameenda kufanya udanganyifu ilihali wanajua walitendalo ni kosa kisheria
Mpumbavu kama mama yako aliyekuzaa kiharamu
 
Habari za wakati huu,
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa dodoma ameenda na watu ambao hawajaanfikishwa katika daftari la wapiga kura ili kufanya udanganyifu
Nashauri hao watu pamoja na mwenyekiti wachukuliwe hatua za kisheria kwasababu wameenda kufanya udanganyifu ilihali wanajua walitendalo ni kosa kisheria
Wewe nawe unafikiria kwa kutumia njia ya kinyume na maumbile ya ubongo. Soma tena uone ni nini kilitokea.
 
Huyu Mama ni Mwamba!
Nadhani baada ya Uchaguzi 2025 afikiriwe kuwa Mbunge wa Viti maalumu Chadema!
Ndilo lengo lake hilo, hapo anatafuta tu attention, angeonekana wa maana sana kama angekusanya ushahidi na kuchukuwa hatua stahiki na sio hivyo alivyofanya, hiyo ni jinai na inatakiwa achukuliwe hatua.
 
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
..nitashangaa chadema taifa kuamini hizi drama..she s not genuine! Ndio mapandikizi haya..
 
Mkuu CCM isikupe kibri sana kwa sababu kushiba Leo !!Unatengeza laana baadaye !Kukosesha haki ya mtu yeyote kwa namna yoyote italipwa baadaye.

MAGUFULI alijiona karibu sawa na Mungu Lakini Leo ni mzoga .

Nakuhakikishia Leo unafurahia utawala huu ipo siku mtoto au mjukuu wako atahangaika kwa sababu yako .Laana huwa Ina mfumo wakwenda mpaka kizazi cha nne

Kabisa
 
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.

Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Aaaah, wakati umefika......
 
Back
Top Bottom