LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Area D wanakaa wakubwa wa jembe na nyundo huko
 
Huyo mtu akapimwe akili!
Mkuu CCM isikupe kibri sana kwa sababu kushiba Leo !!Unatengeza laana baadaye !Kukosesha haki ya mtu yeyote kwa namna yoyote italipwa baadaye.

MAGUFULI alijiona karibu sawa na Mungu Lakini Leo ni mzoga .

Nakuhakikishia Leo unafurahia utawala huu ipo siku mtoto au mjukuu wako atahangaika kwa sababu yako .Laana huwa Ina mfumo wakwenda mpaka kizazi cha nne
 
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Mchengerwa wewe ni muislamu na kumbuka kuna aina 7 la daraja la moto mbinguni kuwa na hofu na mungu mkuu maisha mafupi haya acha kaburi
 
ni muhimu sana akachukuliwa hatua kali zaidi kwa virungu vya kutosha,

kabla ya kuswekwa korokoroni kwa mapumziko kidogo na kisha kushtakiwa mahakamani kwa kuvuruga na kuhujumu kwa makusudi zoezi tulivu sana la kitaifa, la uchaguzi wa Serikali za mitaa.

hatuwezi kuvumilia ulevi wa ain hiyo hata kidogo 🐒
Ebu sogea kwenye ignore list kwanza
 
Na ivyo ndo siasa za Tz zinatakiwa ziendeshwe

Sio zile siasa za freeman mbowe za maridhiano, kususia uchaguzi
Kla sku mbowe anasusia uchaguzi na mwisho wa sku maamuzi yake hayana faida na wala vyombo vya kimataifa haviwezi msaidia sabu vinajua siasa za africa ndo ufanyika ivyo
Hongera sana kwa uyo mama kaonyesha ujasili mara 500x kumzid mwenyekit wake mbowe
 
ni muhimu sana akachukuliwa hatua kali zaidi kwa virungu vya kutosha,

kabla ya kuswekwa korokoroni kwa mapumziko kidogo na kisha kushtakiwa mahakamani kwa kuvuruga na kuhujumu kwa makusudi zoezi tulivu sana la kitaifa, la uchaguzi wa Serikali za mitaa.

hatuwezi kuvumilia ulevi wa ain hiyo hata kidogo 🐒
🚮🚮🚮
 
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Huyu dada anajielewa, anatambia haki na wajibu wake na ana utayari wa kulipigania taifa lake.
Huku kwingine kote Mitanzania ipo imejianika juani kama solar panelshuku mingine ikitoa macho kama migong'ole
 
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Halafu unakuta wasimamizi ni walimu. Kwenye nchi hii walimu wamelaaniwa. Ndiyo maana wanashiriki kusaidia upumbavu kama huu.
 
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
CHADEMA wamejitakia yote hayo. Ngoja wazichape. Pengine kura zao zikafikia idadi!
 
Back
Top Bottom