LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mungu amrehemu sana magufuli

magufuli alikua mjinga na alifanya mambo ya kijinga ambayo ndio yanatugharimu leo na kesho na miaka kadhaa mbele
 
Huyu mama ilibidi akamatwe yeye na Rafiki yake ambaye amekwenda kufanya udanganyifu kwa wasimamizi .. inakuwaje anageuza kibao yeye ni victim ?! Udanganyifu alipanga yeye na rafiki yake wakafanikiwa kupiga alafu analaumu ...Chadema hawajawahi kuwa na akili
 
ni muhimu sana akachukuliwa hatua kali zaidi kwa virungu vya kutosha,

kabla ya kuswekwa korokoroni kwa mapumziko kidogo na kisha kushtakiwa mahakamani kwa kuvuruga na kuhujumu kwa makusudi zoezi tulivu sana la kitaifa, la uchaguzi wa Serikali za mitaa.

hatuwezi kuvumilia ulevi wa ain hiyo hata kidogo 🐒
Dogo,
Ingawa mie siyo nabii, nathubutu kutabiri kuwa pamoja na kuwa wewe ni chawa, pia ni mmoja wa watekaji
 
Hii ndo dawa pekee hawa nyani watasikia na sio kumwachia Mungu!!
 
ni muhimu sana akachukuliwa hatua kali zaidi kwa virungu vya kutosha,

kabla ya kuswekwa korokoroni kwa mapumziko kidogo na kisha kushtakiwa mahakamani kwa kuvuruga na kuhujumu kwa makusudi zoezi tulivu sana la kitaifa, la uchaguzi wa Serikali za mitaa.

hatuwezi kuvumilia ulevi wa ain hiyo hata kidogo 🐒
Si apigwe hivyo virungu mamako
 
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Tduruma ni mbaya nchi inakosa baraka kwa sababu hii
 
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.

Wanawake wamekuwa mistari wa mbele na wajasiri
 
Si apigwe hivyo virungu mamako
polisi wazembe kama wastaafishwe mapema kwa lazima,

wakala gani ana anakau nje ya kituo cha kupiga kura?

ka mtu kenyewe kamoja tu kakupiga pingu na kukasweka ndani kakapigie makelele yake ya kilevi korokoroni?

afande anang"aa macho tu,
malalamiko, dosari na kasoro za uchaguzi yawasilishwe kwa msimamizi wa uchaguzi katika eneo husika :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom