Aanzie nyumbani kwako kwanzaHUYU MAMA ANATUFAA KUWA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aanzie nyumbani kwako kwanzaHUYU MAMA ANATUFAA KUWA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA !!
Ndugu zangu nchi hii sasa tumebakia na kete mbili zilizo kuu ili tuondokane na vitisho na uongozi wa kidhalimu wa CCM chini ya SAMIA Suluhu Hassan ,kete ya kwanza ni ss wananchi kuamua kuandamana nchi nzima non stop kujitetea wenyewe dhidi ya mateso ya kutekwa na kuuawa kwa ndugu zetu mbalimbali.Kete ya pili ni JESHI la WANANCHI wa TANZANIA kama linavyofahamika kuchukua mamlaka kwa niaba ya wananchi kama kweli jeshi hili ni lao na liko kwa ajili ya wananchi.Mauaji yanayoendelea sasa naamin ni zaidi ya awamu zote zilizowahi kupita kuongoza Taifa hili.Kete hz mbili yoyote inaweza kuanza bila kusubiri nyingine kwa lengo la kuponya Taifa.Anayeshabikia watu kutekwa ,kuteswa na kuuawa ni kwa sababu hana upendo na uzalendo kwa watanzania wenzake.Majeshi ya wananchi kama ya Burkina faso,Mali na kwingineko yalipoona siasa chafu zinazonuka kama mavi zikiendeshwa ndani ya nchi zao majeshi hayo yaliingilia Kati ya kuwafurusha wanasiasa washenzi na wapumbavu wasio na Akili wanaohujumu nchi zao.JESHI letu linasemwa na kusifiwa kuwa lina weledi,nidhamu na maadili ya hali ya juu kabisa,Sasa SWALI la msingi linawezaje kuwa na sifa zote hizo Alafu linavumilia wananchi wake wakiteseka,je sifa hizi kea jeshi letu ni za kweli?.Kama nchi ni lazm tuache usanii na tujitafakari kwa kina na mapana.Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Kabla ya Magufuli goli la mkono halikuwepo?Mungu amrehemu sana magufuli
magufuli alikua mjinga na alifanya mambo ya kijinga ambayo ndio yanatugharimu leo na kesho na miaka kadhaa mbele
Kuhalalisha dhuluma, ni sawa na kuhalalisha uhalifu kama ule wa jambazi kuvamia na kupora . Endelea kujitoa Akili.ni muhimu sana akachukuliwa hatua kali zaidi kwa virungu vya kutosha,
kabla ya kuswekwa korokoroni kwa mapumziko kidogo na kisha kushtakiwa mahakamani kwa kuvuruga na kuhujumu kwa makusudi zoezi tulivu sana la kitaifa, la uchaguzi wa Serikali za mitaa.
hatuwezi kuvumilia ulevi wa ain hiyo hata kidogo 🐒
Mmeteka na kuua wapinzani wangapi ninyi mbwa wa ccm!? Kumsweka lupango mbona adhabu ndogo sana hiyo.Mwenyewe anajiona ana akili sana, huu unaweza ukawa ni ushahidi tosha wa yeye kusota Lupango
Sijaona alipozichapa usimlengeshe. Pia, tangu asubuhi najiuliza hii ya daftari. Nilikwenda kituoni, jina langu likatafutwa sana. Likaonekana nikapiga kura kwa amani. Sielewi kabisa ninaposikia hizi stori mingi.Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Huyu mama namuita "wonder woman" wa bongoland.Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Sioni mahali alipozichapa kama ulivyoandika au macho yangu tu yanamakengeza?Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
huenda yule mama ni mlevi,Kuhalalisha dhuluma, ni sawa na kuhalalisha uhalifu kama ule wa jambazi kuvamia na kupora . Endelea kujitoa Akili.
ccm ni MATAPELIWakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Sawa. Yule Kalewa kama chura Kiziwi alivyolewa.huenda yule mama ni mlevi,
maana ule ujasiri ni wa kilevi au madawa ya kulevya.
hata hivyo anastahili adhabu kali mno ili iwe fundisho kwa makaidi na wenye utovu wa nidhamu kama ule 🐒
Wewe jamaa Unatumia Nini kufikiri, aliekwambia Mimi ni CCM na Mimi ni mtekaji ni nani?Mmeteka na kuua wapinzani wangapi ninyi mbwa wa ccm!? Kumsweka lupango mbona adhabu ndogo sana hiyo.
Huyo ni muhuni kama wahuni wengineWakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Kwa kuwa una akili ya kitekaji ya kuhalalisha uhalifu. Mpumbavu sana weweWewe jamaa Unatumia Nini kufikiri, aliekwambia Mimi ni CCM na Mimi ni mtekaji ni nani?