ni muhimu sana akachukuliwa hatua kali zaidi kwa virungu vya kutosha,Wakuu,
View attachment 3163113
View attachment 3163115
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura Site One Bi Aisha Madoga akaamua kuondoka na daftari la kupigia kura ndipo vurugu zikaongezeka katika eneo hilo la Site One Area D Mkoano Dodoma.
Hayo ndiyo maelekezo ya Samia wenuWakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024