LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ndugu zangu nchi hii sasa tumebakia na kete mbili zilizo kuu ili tuondokane na vitisho na uongozi wa kidhalimu wa CCM chini ya SAMIA Suluhu Hassan ,kete ya kwanza ni ss wananchi kuamua kuandamana nchi nzima non stop kujitetea wenyewe dhidi ya mateso ya kutekwa na kuuawa kwa ndugu zetu mbalimbali.Kete ya pili ni JESHI la WANANCHI wa TANZANIA kama linavyofahamika kuchukua mamlaka kwa niaba ya wananchi kama kweli jeshi hili ni lao na liko kwa ajili ya wananchi.Mauaji yanayoendelea sasa naamin ni zaidi ya awamu zote zilizowahi kupita kuongoza Taifa hili.Kete hz mbili yoyote inaweza kuanza bila kusubiri nyingine kwa lengo la kuponya Taifa.Anayeshabikia watu kutekwa ,kuteswa na kuuawa ni kwa sababu hana upendo na uzalendo kwa watanzania wenzake.Majeshi ya wananchi kama ya Burkina faso,Mali na kwingineko yalipoona siasa chafu zinazonuka kama mavi zikiendeshwa ndani ya nchi zao majeshi hayo yaliingilia Kati ya kuwafurusha wanasiasa washenzi na wapumbavu wasio na Akili wanaohujumu nchi zao.JESHI letu linasemwa na kusifiwa kuwa lina weledi,nidhamu na maadili ya hali ya juu kabisa,Sasa SWALI la msingi linawezaje kuwa na sifa zote hizo Alafu linavumilia wananchi wake wakiteseka,je sifa hizi kea jeshi letu ni za kweli?.Kama nchi ni lazm tuache usanii na tujitafakari kwa kina na mapana.
 
Mungu amrehemu sana magufuli

magufuli alikua mjinga na alifanya mambo ya kijinga ambayo ndio yanatugharimu leo na kesho na miaka kadhaa mbele
Kabla ya Magufuli goli la mkono halikuwepo?
 
Kuhalalisha dhuluma, ni sawa na kuhalalisha uhalifu kama ule wa jambazi kuvamia na kupora . Endelea kujitoa Akili.
 
Sijaona alipozichapa usimlengeshe. Pia, tangu asubuhi najiuliza hii ya daftari. Nilikwenda kituoni, jina langu likatafutwa sana. Likaonekana nikapiga kura kwa amani. Sielewi kabisa ninaposikia hizi stori mingi.
 
Huyu mama namuita "wonder woman" wa bongoland.
 
Sioni mahali alipozichapa kama ulivyoandika au macho yangu tu yanamakengeza?
 
Kuhalalisha dhuluma, ni sawa na kuhalalisha uhalifu kama ule wa jambazi kuvamia na kupora . Endelea kujitoa Akili.
huenda yule mama ni mlevi,
maana ule ujasiri ni wa kilevi au madawa ya kulevya.

hata hivyo anastahili adhabu kali mno ili iwe fundisho kwa makaidi na wenye utovu wa nidhamu kama ule 🐒
 
ccm ni MATAPELI
 
huenda yule mama ni mlevi,
maana ule ujasiri ni wa kilevi au madawa ya kulevya.

hata hivyo anastahili adhabu kali mno ili iwe fundisho kwa makaidi na wenye utovu wa nidhamu kama ule 🐒
Sawa. Yule Kalewa kama chura Kiziwi alivyolewa.
 
Huyo ni muhuni kama wahuni wengine

Hata kuiba kura ni uhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…