DODOMA: Mwenyekiti mtaa wa Mtakuja adaiwa kugawa viwanja kwa wanawake wenye 'wowowo' kubwa

Wowowo street haijawai mtu salama
😀😀😀😀 huyo m/kiti siyo wale wanaojiita m-NEC maana ndiyo zao
 
Mwenyekiti wa mtaa wa Mtakuja, kata ya Chang'ombe mjini Dodoma, Issa Yusuph adaiwa kugawa viwanja kwa warembo na wenye makalio makubwa.

Chini ya utaratibu huo, mwenyekiti huyo amekuwa akiwanyima viwanja wanawake wasiokuwa na sura nzuri na makalio makubwa kwa kuwa hawana msaada kwake.

Shutuma hizo zilitolewa jana na mkazi wa mtaa huo, Neema Juma alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi.

Kunambi aliitisha mkutano huo ili kutatua mgogoro wa viwanja ulioko katika eneo hilo. "Mkurugenzi wala usipate shida, tatizo lipo kwa mwenyekiti wa mtaa, huyo uliyekaa karibu naye"

"Huyo amekuwa akiwapatia viwanja wanawake wazuri na wenye makalio makubwa na sisi tusiokuwa na makalio makubwa na sura nzuri tunaishiwa kutukanwa na kukaripiwa."

"Kwa hiyo ukitaka kutatua huu mgogoro wa ardhi anza kwa kushughulika na huyo mwenyekiti kwa sababu ndiye mwenye tatizo" alisema Neema huku akishangiliwa.

Mtanzania
afu da Mange akiwatukana mnakasirika??
 
LOL! Geuka nione chura kwanza. Bi dada anageuka. Una chura wa kutosha weye hivyo unastahili kiwanja.

Mwenyekiti wa mtaa wa Mtakuja, kata ya Chang'ombe mjini Dodoma, Issa Yusuph adaiwa kugawa viwanja kwa warembo na wenye makalio makubwa.

Chini ya utaratibu huo, mwenyekiti huyo amekuwa akiwanyima viwanja wanawake wasiokuwa na sura nzuri na makalio makubwa kwa kuwa hawana msaada kwake.

Shutuma hizo zilitolewa jana na mkazi wa mtaa huo, Neema Juma alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi.

Kunambi aliitisha mkutano huo ili kutatua mgogoro wa viwanja ulioko katika eneo hilo. "Mkurugenzi wala usipate shida, tatizo lipo kwa mwenyekiti wa mtaa, huyo uliyekaa karibu naye"

"Huyo amekuwa akiwapatia viwanja wanawake wazuri na wenye makalio makubwa na sisi tusiokuwa na makalio makubwa na sura nzuri tunaishiwa kutukanwa na kukaripiwa."

"Kwa hiyo ukitaka kutatua huu mgogoro wa ardhi anza kwa kushughulika na huyo mwenyekiti kwa sababu ndiye mwenye tatizo" alisema Neema huku akishangiliwa.

Mtanzania
 
Huyu mwenyekitu wa mtaa nmempenda sana. Anataka kutengeneza mtaa maalum. Nadhan inafaa kumsupport sioni kosa lake. Na wale flat na wenye sura mbaya waende wakaanzishe mtaa wao....kwan shida ipo wapi? Mwacheni mwenyekitu apige kazi yake.
 
Wowowo nomaa sana linazidi kusababisha matukio baada ya mtu kuuwawa kisarawe mpya ya kiwanja hii hapa
 
Misambwanda haijawi kumuacha mtu salama! Hata Mwkt wa Mtaa kaambukizwa..!🙂😉
 
Huyo mwenyekiti ni mgogo kweli au anatokea kanda ya ziwa ?
 
Back
Top Bottom