DODOMA: Mwenyekiti mtaa wa Mtakuja adaiwa kugawa viwanja kwa wanawake wenye 'wowowo' kubwa

DODOMA: Mwenyekiti mtaa wa Mtakuja adaiwa kugawa viwanja kwa wanawake wenye 'wowowo' kubwa

Wowo halijawahi kumuacha mtu salama "Kama wale ndugu sijui wa wapi wale waliuana kwa sababu ya kubishania wowo la mama mmoa hivi
 
Hongera mwenyekiti, kama tunavotaka nyumba Kwenye mtaa ziwe uniform shurti na wakaazi nao wawe uniform. Nawanasihi wenyeviti wangine waige mfano huu mwema. Kudos mwenyekiti kwa kujiongeza ili kupendezesha mtaa wako!
 
mkuu umesema mtaa gani vile, maana huu ndo mtaa mzuri wa kuishi
 
aisee vituko havitakaa viishe, mwenyekiti anatengeneza fursa ya uwekezaji!
 
Mwanzoni wakati naskia nilisema mwenyekiti naye akili zake kama Nkamia,alivyoojiwa ni maajabu haeleweki
 
LOL! Geuka nione chura kwanza. Bi dada anageuka. Una chura wa kutosha weye hivyo unastahili kiwanja.
hahahhahahhah anayo hii hapa
22450144_1613018962081517_1305111157156860955_n.jpg
 
hahahahaha hivi uliwahi kufika pale Kitangiri Matako Baa? yaani wale wadada wote walikuwa wanamidude hiyooooo hahahahaha. Makalio sio mchezo.
Mwanzoni wakati naskia nilisema mwenyekiti naye akili zake kama Nkamia,alivyoojiwa ni maajabu haeleweki
 
Hapo anaweza igawa mpaka ikulu na Bunge akipata hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom