DODOMA: Mwenyekiti mtaa wa Mtakuja adaiwa kugawa viwanja kwa wanawake wenye 'wowowo' kubwa

Jamani hata kama ccm hawajitambui lakini huu ni uongo
usiwe mwepesi kujibu. Ngoja wafuatilie hao waliopewa tuwaangalie, tupime na tuhuma zilizotolewa. Unashindwa kushauri hivi au ni kutetea kila shutuma dhidi ya ccm
 
Kwani hayo makalio yanafaida gani? Yamekuwa mizinga ya nyuki useme yatatoa asali???
 
Weka picha
22450144_1613018962081517_1305111157156860955_n.jpg
 
Mwenyekiti ni mbunifu

Kuna mkuu wa mkoa anaitwa mchapa kazi na mfano wa kuigwa kwa kuwa mbunifu
 
Haya maisha raha sana,ukijaaliwa tu kiwanja haya Dada zetu mliojaaliwa Fursa hiyo.
 
...[HASHTAG]#cocochanel[/HASHTAG] changamkia Fursa hiyo

Ova
 
Kwa hiyo baada miaka kadhaa mtaa mzima utakuwa wa wenye wowowo tu.
Huyo mkiti alifikiria mbali sana, baada ya serikali kutenga maeneo maalum kwa ajili ya kuuzia magari, masoko nk, na yeye kaamua kujenga mji maalum wa wowowo ili wadau wasihangaike.
Mimi mwenyewe napenda mizigo mikubwa iliyojazajaza nyama, wembamba sipendi, labda itokee tu. Ila nafsi yangu hasa inapenda miss bantu.
 
Wowowo limekuwa dili katika kila sekta, tunakoelekea wowowo litatumika kama kigezo cha kupata ajira na hati za kusafiria...
 
Mwenyekiti wa mtaa wa Mtakuja, kata ya Chang'ombe mjini Dodoma, Issa Yusuph adaiwa kugawa viwanja kwa warembo na wenye makalio makubwa.

Chini ya utaratibu huo, mwenyekiti huyo amekuwa akiwanyima viwanja wanawake wasiokuwa na sura nzuri na makalio makubwa kwa kuwa hawana msaada kwake.

Shutuma hizo zilitolewa jana na mkazi wa mtaa huo, Neema Juma alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi.

Kunambi aliitisha mkutano huo ili kutatua mgogoro wa viwanja ulioko katika eneo hilo. "Mkurugenzi wala usipate shida, tatizo lipo kwa mwenyekiti wa mtaa, huyo uliyekaa karibu naye"

"Huyo amekuwa akiwapatia viwanja wanawake wazuri na wenye makalio makubwa na sisi tusiokuwa na makalio makubwa na sura nzuri tunaishiwa kutukanwa na kukaripiwa."

"Kwa hiyo ukitaka kutatua huu mgogoro wa ardhi anza kwa kushughulika na huyo mwenyekiti kwa sababu ndiye mwenye tatizo" alisema Neema huku akishangiliwa.

Mtanzania

Ishakua tafrani..M/kiti achunguzwe
 
Back
Top Bottom