Yani hata Mbowe akipigwa na wakina Lijua likali au Lwakatare basi inasingiziwa CCM jamani kwani mbowe hana maadui ukizingatia sekeseke lililomo ndani ya chama saiziFreedom is coming tomorrow, we will overcome this.
"KEEP TO YOUR FAITH, WITH OUR EVILS, WE WILL NEVER RECOGNIZED GOOD"
Amani imo shakani
Unazungumzia mangula kuwekewa sumu pale Lumumba ?Vijana wa chadema watammaliza mbowe,inaonekana hawampendi mbowe
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Inaweza kuwa chadema kwa chadema mkuu CCM haiwezi kufanya move ya kipuuzi kama hiihapa ndipo serikali ya Magufuli INAPOFELI.
Umegeuka moderator sasa
Inawezekana ni matatizo ndani ya CHADEMA mkuuJaribio la KUANGUSHA MWAMBA baada ya Mipango yote ikiwemo Manunuzi kushindikana. Kuumiza na Kuua viongozi wa CHADEMA hakutaifufua CCM ILIOJIFIA.
Mkuu nawe tumia akili hata kama ana mlinzi, wakitokea hao vibaka 10 Huyo mlinzi 1 atafanya nini? Kuhusu swala la muda nayo ni hoja dhaifu.Mbowe si ana mlinzi? Huyu mlinzi wake alikuwa wapi. Na huo mda wanasema kavamiwa usiku saa saba bado napata wasiwasi hao itakuwa vibaka tuu
Kama mataga mliweza kutetea Lissu kupigwa risasi 16 mchana kweupe sembuse mbowe kuvunjwa mguu!Ningependa kuwauliza chadema au Kama watashindwa kujibu Basi itabidi tunasubir Mbowe mwenyewe aje atupe majibu
Mwenyekit Mbowe inasemekana kavamiwa na watu na kumjeruhi uku chadema wakidai kua ni shambulio la kisiasa kwa sababu walio kua Wana mshambulia walikua wanasema baadh ya maneno mfano, Acha kumsema sema vibaya Rais
Kulingana na tukio lilivyo inaonyesha wazi kabisa kua chadema hii wamepanga wao ili kutafuta huruma kwa Wananch
Mbowe anaweza kutuambia muda huo saa sita alikua anatoka wapi na walimshambulia akiwa wapi? Na Kama walimshambulia njina alipokua anaelekea kwake Kwann alisimamisha gar usiku Tena saa sita? Pia huenda mbowe atakua alivamiwa akiwa amesimama sababu Sio Rahis mtu yupo ndan ya gar Tena usiku uweze kumshambulia ki rahis.
Na je Kama mbowe alishambuliwa wakat amesimama alikua anafanya Nini ilo eneo na alikua anatoka wapi uo usiku?
Pia nimeona baadh ya Uzi zinazid kudhihirisha kua chadema hii wamepanga na kutaka kuleta lawama kwa serekal pale wanapo sema mbowe kavamiwa sehemu yenye ulinzi mbona walinz hawakuwepo? Hii ni point ya kijinga na fikirishi na inatoa picha ya kua chadema hua wanafanya Mambo Yao kwa kutumia udhaif wa serekal kwenye maswala ya ulinzi.
Hua wanatafuta maeneo ambayo kwa namna moja au nyingine lazima kue na ulinzi ili wakifanya matukio Yao waje kuhoji serekal ulinzi uko wapi na kuwatupia lawama ili ionekane serekal ndio imepanga na yenyewe ndio ilio toa ulinzi eneo lile
Ili tukio linaonesha dhahir kua hata lile la Tundulisu lilipangwa
Mataga baada ya Lissu kutangaza nia mmepanic mnoooChadema wasubir Tu October tuwaongezee kaz yao pendwa ya kusema uchaguz ujao tutashinda
Inaweza kuwa chadema kwa chadema mkuu CCM haiwezi kufanya move ya kipuuzi kama hii
Watu walikua watatu yani mbowe hana hata bastora ni uzembe wa hali ya juuMkuu nawe tumia akili hata kama ana mlinzi, wakitokea hao vibaka 10 Huyo mlinzi 1 atafanya nini?? Kuhusu swala la muda nayo ni hoja dhaifu.
Ni magufuli aliyemshambulia?Magufuli hapa ndipo anapofeli.
Kama haya mambo hayajui ni wazi WANAMUHARIBIA YALE MAZURI ALIYOFANYA.
unaweza ukawaletea watu maendeleo lakini kama hakuna amani.
HAYO MAENDELEO NI BURE