Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Freedom is coming tomorrow, we will overcome this.

"KEEP TO YOUR FAITH, WITH OUR EVILS, WE WILL NEVER RECOGNIZED GOOD"
Yani hata Mbowe akipigwa na wakina Lijua likali au Lwakatare basi inasingiziwa CCM jamani kwani mbowe hana maadui ukizingatia sekeseke lililomo ndani ya chama saizi
 
Si tuliarifiwa kuwa anahudumiwa kwa walinzi,mafuta,na gari.Au ulikuwa nje ya muda wao kumlinda. Jicho langu ameumia wapi maana nimeambiwa ni mguuni kama ni miguuni hawakuwa na dhamira ya kumuua.Unakumbuka zilevpicha za mawazo,mbakumbuka ile you tube ya risasi za T.A.L.

Tusubiri tuone na kupima kama ni dhamira ya kweli au maigizo.anayetaka kuua kwa panga hupiga kichwani na si mguuni.
 
Mbowe si ana mlinzi? Huyu mlinzi wake alikuwa wapi. Na huo mda wanasema kavamiwa usiku saa saba bado napata wasiwasi hao itakuwa vibaka tuu
Mkuu nawe tumia akili hata kama ana mlinzi, wakitokea hao vibaka 10 Huyo mlinzi 1 atafanya nini? Kuhusu swala la muda nayo ni hoja dhaifu.
 
Ningependa kuwauliza chadema au Kama watashindwa kujibu Basi itabidi tunasubir Mbowe mwenyewe aje atupe majibu

Mwenyekit Mbowe inasemekana kavamiwa na watu na kumjeruhi uku chadema wakidai kua ni shambulio la kisiasa kwa sababu walio kua Wana mshambulia walikua wanasema baadh ya maneno mfano, Acha kumsema sema vibaya Rais

Kulingana na tukio lilivyo inaonyesha wazi kabisa kua chadema hii wamepanga wao ili kutafuta huruma kwa Wananch


Mbowe anaweza kutuambia muda huo saa sita alikua anatoka wapi na walimshambulia akiwa wapi? Na Kama walimshambulia njina alipokua anaelekea kwake Kwann alisimamisha gar usiku Tena saa sita? Pia huenda mbowe atakua alivamiwa akiwa amesimama sababu Sio Rahis mtu yupo ndan ya gar Tena usiku uweze kumshambulia ki rahis.

Na je Kama mbowe alishambuliwa wakat amesimama alikua anafanya Nini ilo eneo na alikua anatoka wapi uo usiku?

Pia nimeona baadh ya Uzi zinazid kudhihirisha kua chadema hii wamepanga na kutaka kuleta lawama kwa serekal pale wanapo sema mbowe kavamiwa sehemu yenye ulinzi mbona walinz hawakuwepo? Hii ni point ya kijinga na fikirishi na inatoa picha ya kua chadema hua wanafanya Mambo Yao kwa kutumia udhaif wa serekal kwenye maswala ya ulinzi.
Hua wanatafuta maeneo ambayo kwa namna moja au nyingine lazima kue na ulinzi ili wakifanya matukio Yao waje kuhoji serekal ulinzi uko wapi na kuwatupia lawama ili ionekane serekal ndio imepanga na yenyewe ndio ilio toa ulinzi eneo lile

Ili tukio linaonesha dhahir kua hata lile la Tundulisu lilipangwa
Kama mataga mliweza kutetea Lissu kupigwa risasi 16 mchana kweupe sembuse mbowe kuvunjwa mguu!
 
Kesho ni njema kuliko jana,Pole sana Mh Mbowe .
 
Inasikitisha, inakarahisha na inatisha kwa nini AREA D TU, eneo la wastaarabu na lenye ulinzi wa kutosha, Kuna Nini area d
 
Hatuna uhakika.
Ila haya mambo yanayotokea Yana mfelisha sana magufuli na kumpa sifa mbaya.
Kama una uhakika na uongozi wako KWANINI UYAFANYE HAYA?.
Mwisho wa siku ukiondoka watu watasema.
"Alitujengea barabara,alituwekea umeme alitujengea madaraja n.k. lakini pia alikuwa ni MTESAJI NA MUUAJI".
hyo sio sifa NZURI.
Inaweza kuwa chadema kwa chadema mkuu CCM haiwezi kufanya move ya kipuuzi kama hii
 
Mkuu nawe tumia akili hata kama ana mlinzi, wakitokea hao vibaka 10 Huyo mlinzi 1 atafanya nini?? Kuhusu swala la muda nayo ni hoja dhaifu.
Watu walikua watatu yani mbowe hana hata bastora ni uzembe wa hali ya juu
 
Nani Mkweli? Msimuliaji au mtendewa??? Nani anastahili kuaminiwa ni msimuliaji au mtendewa??? Yatupasa kutoa mda na kufanya upembuzi na utafiti wa kina ili Kupata Ukweli.

Ni vyema kuamini au kuto kuamini, Ukiona hauko upande wowote ni Jambo la hekima kukaa kimya kuliko kuzusha au kuwakera waliyokutwa na maswaibu.Poleni wanafamilia wa chadema ila tuendele kuchuja na kuchekecha ili tupate ukweli.
 
Magufuli hapa ndipo anapofeli.
Kama haya mambo hayajui ni wazi WANAMUHARIBIA YALE MAZURI ALIYOFANYA.
unaweza ukawaletea watu maendeleo lakini kama hakuna amani.
HAYO MAENDELEO NI BURE
Ni magufuli aliyemshambulia?
 
Back
Top Bottom