Ningependa kuwauliza chadema au Kama watashindwa kujibu Basi itabidi tunasubir Mbowe mwenyewe aje atupe majibu
Mwenyekit Mbowe inasemekana kavamiwa na watu na kumjeruhi uku chadema wakidai kua ni shambulio la kisiasa kwa sababu walio kua Wana mshambulia walikua wanasema baadh ya maneno mfano, Acha kumsema sema vibaya Rais
Kulingana na tukio lilivyo inaonyesha wazi kabisa kua chadema hii wamepanga wao ili kutafuta huruma kwa Wananch
Mbowe anaweza kutuambia muda huo saa sita alikua anatoka wapi na walimshambulia akiwa wapi? Na Kama walimshambulia njina alipokua anaelekea kwake Kwann alisimamisha gar usiku Tena saa sita? Pia huenda mbowe atakua alivamiwa akiwa amesimama sababu Sio Rahis mtu yupo ndan ya gar Tena usiku uweze kumshambulia ki rahis.
Na je Kama mbowe alishambuliwa wakat amesimama alikua anafanya Nini ilo eneo na alikua anatoka wapi uo usiku?
Pia nimeona baadh ya Uzi zinazid kudhihirisha kua chadema hii wamepanga na kutaka kuleta lawama kwa serekal pale wanapo sema mbowe kavamiwa sehemu yenye ulinzi mbona walinz hawakuwepo? Hii ni point ya kijinga na fikirishi na inatoa picha ya kua chadema hua wanafanya Mambo Yao kwa kutumia udhaif wa serekal kwenye maswala ya ulinzi.
Hua wanatafuta maeneo ambayo kwa namna moja au nyingine lazima kue na ulinzi ili wakifanya matukio Yao waje kuhoji serekal ulinzi uko wapi na kuwatupia lawama ili ionekane serekal ndio imepanga na yenyewe ndio ilio toa ulinzi eneo lile
Ili tukio linaonesha dhahir kua hata lile la Tundulisu lilipangwa