Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ina maana mkuu huwa hujasoma kabisa dictatorial regimes na jinsi zinavyooperate???????Yani hata Mbowe akipigwa na wakina Lijua likali au Lwakatare basi inasingiziwa CCM jamani kwani mbowe hana maadui ukizingatia sekeseke lililomo ndani ya chama saizi
Unajifanya hujui? Kamanda !Muigizaji ni nani hapo?
Akili ni nywele ndiyo maana wakati wewe unashinda na njaa sisi wenzako tunakula bata lkn bado hatuna mipango na ccm.Amka peke yako.
Tuache sie bado tumelala usingizi mtamu kwenye nchi yetu.
Di*k head
Mkuu try to think beyond the box! Hii serikali inaongozwa na Magufuli na kwa cheo chake kama amiri jeshi wa nchi vyombo vyote vya dola vipo chini yake, hivyo kunapotokea hali ya kutowepo na AMANI kwa wananchi, yeye hawezi kujitenga na lawama!Ni magufuli aliyemshambulia?
Mangula anaigiza kalishwa sumu ofisini Lumumba?Unajifanya hujui? Kamanda !
Huu ndio ushahidi kwa nini watu wanatunga sheria za kujilinda.
Pia swala la Lissu ni mwiba sana kwa sababu hakua asiye jua muhusika.
Kufuta habari za Lissu wameamua kuleta haya majanga.
Ipo siku CCM mtalazimishwa kunywa damu za watu. Waulizeni wacongo chini ya mabutu.
Kumbe KUB huwa anamsema vibaya JPM? Huwa hakosoi kwa staha?Kwani DC Machali alimsema vibaya Rais Magufuli?
Magufuli hapo ana husika nini
Rais alisema by 2020 ataufuta upinzani kabisa ndio hivyo anatekeleza.
Ipo siku utajibuLissu achunguzwe
Wasenge wamemfanyia makusudi ili asipige kampeni.
Unakuta hapo kuna wabunge wa CCM wanachekelea.
Kamanda ishu ya Mangula hata Polisi wanaijua tusichanganye mafaili.Mangula anaigiza kalishwa sumu ofisini Lumumba?
View attachment 1472626
View attachment 1472650
Salaam,
Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.
Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.
Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.
Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata
MAONI YANGU:
Mh. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.
Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?
We need to wake up, better late than never.
Machali!Unataka kusema KUB alikuwa anatokea night club?
Magufuli hapo ana husika nini
Kazi ya break kwenye gari ni nini?Ok kwa nin alisimamisha gar usiku?
Ni magufuli aliyemshambulia?