Lissu nae ilikuwa ndani ya CHADEMA?Inawezekana ni matatizo ndani ya CHADEMA mkuu
AhaaKwanini kama Rais amekuwa Kimya juu ya Matukio haya ambayo yameota Mizizi hasa katika Awamu yake hii na wala hayakemei kabisa Ndugu?
AhaaYeye ndo amiri jeshi mkuu wa nchi hii.
Lolote likitokea kwenye uongozi wake.
Liwe baya au ZURI atasifiwa yeye au atalaumiwa YEYE.
Kama ni kweli waliowatuma ni watu wajinga sana kuna mbinu za kisiasa kuzuia watu kama Mbowe lakini si kama hizo za kuwashambulia hizo zinafanyika kwenye nchi zinazoongozwa kidkiteta na hata timing haikuwa sahihi pia hivibvikundi vya green guard, red brigade na vinavyofanana na hivyo vinatakiwa vifutwe mara moja kwani wanaojiunga navyo wengi ni wahalifu walioshindikana ambao hata nidhamu hawana
Kwani issue ya lissu na mbowe polisi hawaijui??Kamanda ishu ya Mangula hata Polisi wanaijua tusichanganye mafaili.
Mkuu try to think beyond the box! Hii serikali inaongozwa na Magufuli na kwa cheo chake kama amiri jeshi wa nchi vyombo vyote vya dola vipo chini yake, hivyo kunapotokea hali ya kutowepo na AMANI kwa wananchi, yeye hawezi kujitenga na lawama! Pia ni Mwenyekiti wa CCM taifa , hivyo kama mipango hii miovu inapangwa na CCM , hapa anachomokaje! Tunajuwa hawezi kuhusika moja kwa moja lakini kwa nyadhifa zake ndiye anapaswa kujenga mazingira ya kuhakikisha matukio kama haya hayatokei au yanakomeshwa!
Akili ni nywele ndiyo maana wakati wewe unashinda na njaa sisi wenzako tunakula bata lkn bado hatuna mipango na ccm
Msengee sana, unaweza jiigiza kiasi cha kuvunjwa???
Unakuta hapo unakula kwa mama yako au shemeji yako.
Ndiyo ujumbe aliyopewa Mbowe na watesi wake Jana. Kazi ya upinzani ni kuikosoa serikali lakini kwa wengine inaelekea kukosolewa kwao ni kusemwa vibaya.Kumbe KUB huwa anamsema vibaya JPM? Huwa hakosoi kwa staha?
Yaan hata mlinzi hakuna,hata bastora hakuna ,nchi imeshavurugwa wanachosubiri Ni nini?Jamaa wanaboa bana acha wapate wanachokilea ....
Mtu kama wewe siku ukija kwenye 18 zangu hutaamini kama ndiye uliyekuwa unachati nae Jamii Forums
Nenda kamuulize Mambosasa. Hilo swali ni nje ya mada.Kwani issue ya lissu na mbowe polisi hawaijui??
Nakuuliza tena, Mangula anaigiza kuwa kalishwa Sumu hapo kwenye ofisi yenu ya Lumumba?
Utani kama huu sio mzuri ,
Muroto: mbowe amekanyagwa kanyagwa na anaendelea vizuri.