Acha watambe lakini iko siku,itakuwa kweli....Ally Nabwa R I PWe jamaaa bn ccm tambeni bana upinzani wenyewe umebaki mitandaoni Field hakuna tambeni bn nchi yenu hii
Sasa hivi kama mbwai na iwe mbwai.Hiyo ndiyo dawa yao hao intetahamwe
Kubwa jinga [emoji706][emoji706][emoji706]Tunajua Mbowe ndio mwenye maamuzi nani agombee Urais nani asigombee
Inawezekana moja ya wagombea aliyetangaza kutaka kugombea Urais kwa kutumia wapambe wake walitaka wampoteze chairman ?
Hii dhambi haitamuacha salama huyu mtangaza nia, mbona chairman ni mtu hana tatizo
Watu wa Kilimanjaro amkeni chama kinataka kuporwa kihamie mkoa mwingine
Jeshi la polisi chunguzeni hili
Basi tuliza mshono mataga mkubwa wewe.Nenda kamuulize Mambosasa. Hilo swali ni nje ya mada.
hahah daah noma sana.Sasa hivi kama mbwai na iwe mbwai.
unajua ukiwa zuzu hii ccm inakuzuzuzisha zaidi
Mfumo wa kisiasa kwenye nchi ukifa jua ni mwanzo wa mfumo wa uasi au rebellion kuibuka ... hivi vyama vinaungwa mkono na wanajeshi na maafisa wengine wengine ni wastaafu ... ambao wakiona hakuna uwezekano wa mfumo halali wa kidemokrasia watalazimisha demokrasia kwa nguvu .. hivi ndio namna nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko ...Hivi nyie CHADEMA ni chama kikuuu Cha upinzani kweli? mnaonewa mmebaki kulalamika tu wakati mna mtaji wa watu 6m? kwa ujinga huu mtanyanyaswa sana tena sana...mguse MALEMA pale kwa MADIBA uone Moto wake...mguse Raila hapa Kenya....shame on u
Katika siasa kunamatukio mengi ya uhongouhongo na unafiki mwingiMmh hizi si dalili nzuri kabisa kuelekea uchaguzi mkuu. Njia zote zimeshindikana sasa hii ya kuumizana ndio silaha yao ya mwisho iliyobaki. KUKICHWA KUTAMBAZUKA. WAKATI SI MILELE.
Jr[emoji769]
Tunajua Mbowe ndio mwenye maamuzi nani agombee Urais nani asigombee
Inawezekana moja ya wagombea aliyetangaza kutaka kugombea Urais kwa kutumia wapambe wake walitaka wampoteze chairman ?
Hii dhambi haitamuacha salama huyu mtangaza nia, mbona chairman ni mtu hana tatizo
Watu wa Kilimanjaro amkeni chama kinataka kuporwa kihamie mkoa mwingine
Jeshi la polisi chunguzeni hili
Saa sita usiku mbowe alikua wapi na Kwann alisimamisha gar?
Yan chadema jamiforums wanata kuifanya Kama Yao vile