Kwa hiyo saa tisa usiku ni halali kushambuliwa ?Usiku wa saa tisa alikuwa anatoka wapi?
Siko mbali na maoni yako, timing ya shambulio inaleta speculations, pengine walio mshambulia Mbowe wamefanya hivyo leo ili watu wasipate muda wa kusoma na kutafakari hotuba ya TL na kuijadili kwa upana badala yake waongelee tukio la Mbowe kushambuliwa wana divert attention ya watu.
Dhana ya pili,TL ambaye ametangaza nia akiwa ughaibuni baada ya kushambuliwa na wasio julikana ,aone kwamba bado Tanzania sio salama kwa hiyo badala aje kupigania nafac ya kugombea Urais aingiwe uoga na kubaki huko huko wengine wapite bila upinzani mkubwa.
Dhana nyingine ni juzi juzi viongozi wa umoja wa vijana walio nukuliwa wakihamasisha vijana wa chama chao kutowaacha Zito/Mbowe wakidunda mitaani kwa kuwa "wana hatarisha usalama wa nchi" viongozi hawajawahi kuitwa kukemewa wala kuhojiwa! Hii ni hatari sana kwa ustawi wa nchi yetu.
Sasa hivi kama mbwai na iwe mbwai.
unajua ukiwa zuzu hii ccm inakuzuzuzisha zaidi
ACHA KUJENGA UKABILA .....KAMA AMBAVYO GWAJIMA KAONGEA HADHARANI KUANZISHA JESHI LA KIKABILA [INTERAHAMWE] KUMLINDA KIONGOZI NA KUDHURU WAPINZANI
Makaratas imeandikikwa hivyo..Lakin Makaratas ni watu?Watu wanachana karatasi wanatumia mbongo zao kulinda maslahi yao..Kwa Mujibu wa Katiba ya TANZANIA ibara ya 8 , 9 na 153 inazungumzia kuhusu Malamaka ya SERIKALI yanatokana na Wananchi na waliokabidhiwa mamlaka wanawajibika kuwalinda RAIA na Mali zao; Ni wajibu wa Vyombo vya DOLA kuhakikisha kila mtu anakuwa HURU na anaweza kufanya shughuli zake bila woga wala wasiwasi;
Tunaamini Vyombo vya DOLA vitawakamata hao wahuni wanaotaka kuichafua image na taswira nzuri ya Nchi yetu hasa tunapoelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020;
Tanzania imejengwa juu ya Msingi wa UJAMAA na KUJITEGEMEA na misingi ya CCM inasema kuwa binadamu wote ni SAWA;
hatuwezi kuruhusu wahuni wachache waichafua taswira yetu na NCHI yetu;
Mungu amponye Mhe Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai,KUB na Mkiti wa CHADEMA;
Patrick
chadema hizi kiki zenu za kijinga zitakuja kuwapeleka pabaya pimbi nyie...
mtu mzimaa saa sita saa saba ulikua unatoka club au ?
ulikua unatembea kwa miguu ?
mafala nyie...