Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Yan Mbowe kuka nyangwa anasea ni magufuli huu ujinga sijui utaisha lin toka Lin magufuli AKA kanyaga watu??
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
 
Watakata roho kabisa maana hiyo ni kwa hofu ya hotuba tu ya mh lissu
Siasa tu ,hata kama ni CDM au CCm au NSSR jamani Mbowe anawatoa roho wakati siasa ni homa.Akija Lissu mtamvunja shingo kwa kweli duuuu
 
MIT. 29:2 SUV
Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua
 
Kwaio yeye ndio Kam kanyaga mbowe?
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
 
Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, ametuma tena GENGE lake la Watu wasiojulikana. Sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
 
Unajua unaloongea? Cdm hawaombi hisani kulindwa bali ni haki yao, kwani wanaopaswa kuwalinda wanalipwa kwa kodi za umma. Inaonekana hujui lolote kuhusu elimu ya uraia, hivyo unadhani raia kupewa ulinzi na serikali ni hisani, na sio wajibu.
 
Huu mjadala ufungwe, hauna chochote cha maana zaidi ya sarakasi za kutaka kusikika!
 
Duh akili za watu wengine ata ukimwekea video hawezi kukuamini.Hizi aina za ubaguzi mbaya sana ..uwe wa rangi au itikadi....kuna watu pamoja na video ya yule jamaa mmarekani baado hawamini tu sawa na huyu mtoa hii maada hawezi kuamini
 
#BBC #SUBSCRIBE

MUSWADA WENYE UTATA WAPANGWA TAN ZANIA, UNAWAPA KINGA RAIS, SPIKA, WAZILI MKUU, JAJI MKUU KUSTAKIWA

[emoji117][emoji117][emoji117]
Mswaada huu unajihami juu ya maovu yanayotokea sasa nchini na yale yaliyopangwa kutokea kwenye kampeni kuuendea uchaguzi mkuu
 
Utaamin vip kwa mfano mwanaume kuzingishia wanaume wenzake kua wame mkanyaga kwa sababu za kisiasa tu
Duh akili za watu wengine ata ukimwekea video hawezi kukuamini.Hizi aina za ubaguzi mbaya sana ..uwe wa rangi au itikadi....kuna watu pamoja na video ya yule jamaa mmarekani baado hawamini tu sawa na huyu mtoa hii maada hawezi kuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…