Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, ametuma tena GENGE lake la Watu wasiojulikana. Sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.Ona huu ujinga mwingine! Yani mtu unatembea mpaka usiku wa manane alafu huna walinzi kisa korona? Huko anakozungukia hakuna korona?
Chadema ni fungu la kukosa
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kwaio chadema mnasema Mbowe Kaka nyangwa na magufuli?
Mzee, uko very poor kwenye writting skills, nakushauri jibidishe kwenye mazoezi ya kuandika.Kwaio Mbowe Kaka nyangwa Mpaka kavunjika mguu na mkono alikua amekaa style gani Mana inaonesha wazi hakua amelala chali Wala kulalia tumbo Kuna stail alikua amekaa MTUSAIDIE jaman
Amekanyagwa vipi
Tusilete siasa kwenye Aman ya nchi tuelezen kwa undan ili tupime hoja Kama Kuna mkono wa mtu Basi Sheria ifate mkondo wake
Kila mtu apewe haki yake Tundulisu ameahid kuongea baadae juu ya swala la Mbowe
Kesho andamaneni kamanda, si mna nguvu ya umma?
Unapotembea usiku mnene hata kama uko pentagon,,kila mtu anaekuapproach ni potential threat,,haijalishi wewe ni mwanasiasa au chingaSioni hoja yako ni ipi hapa, tatizo ni kutembea usiku au tatizo ni usalama mdogo wa viongozi wa upinzani? Maana kama tatizo ni kutembea usiku, Lisu yeye alishambuliwa mchana kweupe.
Na kama suala ni viongozi wa upinzani kuhitaji ulinzi kwa ajili ya usalama wao, basi Lisu ameomba zaidi ya mara moja ahakikishiwe usalama wake, lakini hakuna aliye tayari kumpa huo ulinzi. Wakati mwingine ndugu jiepushe na kutetea uovu, kwa sababu za kuungaunga.
Yaani hana hata wapambe wa kuunga tela,,nini faida ya pesa kama haiwezi hata kukulinda sasa?ila mwanaume mwenye HELA unapigwaje kihasara hivyo aise..huna hata bastola aisee au machine gun moja hivi ya kuwachakaza chakaza hao wahuni
Unapotembea usiku mnene hata kama uko pentagon,,kila mtu anaekuapproach ni potential threat,,haijalishi wewe ni mwanasiasa au chinga
Unapotembea usiku mnene hata kama uko pentagon,,kila mtu anaekuapproach ni potential threat,,haijalishi wewe ni mwanasiasa au chinga
Awe wa mwisho , usimruhusu shetani amkaribie mgonjwa wakoNamuona Naibu Spika keshaenda, bado namsubiri Ndugai.
Yaani hana hata wapambe wa kuunga tela,,nini faida ya pesa kama haiwezi hata kukulinda sasa?
Mimi sitetei uovu,natoa angalizo in future mjipange,,kama tukio la lisu halikuwafanya mjipange,,ina maana kuna uzembe,,mwenyekiti wa chama kitaifa,anatembeaje usiku wa manane mwenyewe?,Nakuuliza tena, tatizo ni kutembea usiku au tatizo ni upinzani? Kama tatizo ni kutembea usiku mbona watanzania wengi wangekuwa wameshapoteza maisha? Acha kutetea uovu boss kwa hoja za kulazimisha.
Hivi ulidhani zile kashfa zingezimwa vipi!?Ile reaction ya mataga jana baada ya Lissu kutangaza nia nilijua tu lazima watakuja kimalaya. Shame on you Mataga.
Hakuna cha kuogooa halo, chama chenyewe kipo ICU!Hii ni kazi ya Mwenyekiti wetu wa CCM, sijui kwanini anawaogopa Wapinzani kiasi hiki? Amejenga mabarabara, madaraja, kununua ndege n.k japo kwa fedha za mikopo ambayo tutailipa wananchi wenyewe huko mbeleni, lakini bado hofu imemjaa tu.
Sasa Tindo bado unajiuliza hayo maswali kweli? Aisee!Nakuuliza tena, tatizo ni kutembea usiku au tatizo ni upinzani? Kama tatizo ni kutembea usiku mbona watanzania wengi wangekuwa wameshapoteza maisha? Acha kutetea uovu boss kwa hoja za kulazimisha.
Pona haraka mfalme wetu.Sure..
Get well soom Mh Mbowe..
MUNGU AKULINDE sana.
Mwenyekiti aache kutumia MTUTU WA BUNDUKI kuongoza nchi, kuna leo na kesho. Shauri yake.Hakuna cha kuogooa halo, chama chenyewe kipo ICU!
Lowasa alikuta chama kipo juu kimejengwa na akina Dr slaa lakini bado hakufua dafu na muungano wa vyama vinne vya siasa
Sembuse poor chadema hii
Naona mnatunga sheria za kujilinda mkitoka madarakani msihitakiwe,kumbe nyie ni waoga hivyo?hiiiiiiiiiiiiiiiiiiHakuna cha kuogooa halo, chama chenyewe kipo ICU!
Lowasa alikuta chama kipo juu kimejengwa na akina Dr slaa lakini bado hakufua dafu na muungano wa vyama vinne vya siasa
Sembuse poor chadema hii