Kujitambua ndio msingi wa maisha salama. Baba wa Taifa aliwahi kutahadharisha kwa msemo wa kabila lake kuwa "anayeficha maradhi kilio humuumbua".Wewe unayekijua kiseme! Poor you! Acheni ramli chonganishi, na ya kwenu yanajulikaña pia
Inawezekana hata ile sumu ya Mangula ilikua ni exit plan yenu sio?Hiyo chuki ni tafsiri yako, wa Tz wengi wapo busy na maisha yao na wana siasa wapo busy na Maisha yao, in fact unaweza kukuta hili tukio likawa exit plan ya victim , kisingizio kapigwa wakati kesha vuna vyakutosha
Kama baba yako huwa anabakwa shauri yakoWe utakuwa umeandika haya ukiwa wabakwa
Ilipotokea kwa Lisu mkajificha kwa dereva wake, sasa imetokea kwa Mbowe mnasingizia kwa nini hakuwa na ulinzi?! Yote ni kutafuta justification ya kutofanya uchunguzi.Hivi Mbowe hakuna na wale mabaunsa wake?
Mwenzako katunga movie, wewe unalia lia machozi, shauri yakoGet well soon Mh Mbowe,hawa wamepagawa na wapo stressed and they are obsessed.Hawa wasiojulikana ni kina nani hasa hapa nchini?Hawa wanaowatuma wanaamini kwa mbinu kama hizi wanadhani ndiyo watapendwa na Wananchi?Kwa nini wanaendelea kutokujulina?Uimara wa vyombo vyetu vya ulinzi upo kwa kiwango gani?
Hivi kama viongozi wanashambuliwa katika maeneo rasmi yenye uangalizi/ulinzi 24/7 nani yupo salama nchi hii?Je,ni rahisi kiasi gani kumvamia Mbowe ambaye ni KUB,anatembea kwa gari muda mwingi inakuwaje kuvamiwa na vibaka?Alitekwa?Mambo ni mengi ila muda in finyu.
Mbona unajilisha upepo ndugu bila sababu yoyote? Mbona una argue mambo kwa hisia (emotions) zako badala ya uhalisia...?
Kama wewe unaona "karaha" kutoka kwenye baadhi ya maoni (comments) ya watu humu kwa kuwa ziko "hasi" na "interests" zako, basi tatizo siyo comments hizo bali tatizo halisi ni wewe mwenyewe...!
Hebu nikuulize maswali kadhaa na ukiweza kuyajibu kwa usahihi bila kuidhulumu nafsi yako, itapendeza na kukusaidia sana;
Tuambie, una maana gani kusema unaweza kuleta comments "hasi" na zenye "karaha" na "matusi" za wana CHADEMA 200?..
Umetumia kipimo gani tusichokijua sisi kuwatambua members wote wa JF kwa "nembo" zao za vyama vyao vya siasa?
Au ni lini na kwa kutumia vigezo gani hasa umeweza kuwa - classify members wa JF wote kuwa huyu ni CHADEMA , huyu ni CCM, huyu CUF, huyu ACT Wazalendo, huyu CHAUMA, huyu TLP na huyu hana chama nk nk?
Hebu tuambie umewezaje ndugu? Umetumia vigezo gani?...
Je, kwa kutumia kigezo hiki unachosema; "comments au maoni HASI na yenye KARAHA na yenye MATUSI " dhidi ya CCM na Magufuli?
Kipimo na tafsiri ya jumla (si yako wewe peke yako) ya; u - HASI, u- KARAHA na u - MATUSI ni ipi?
Kama utajibu maswali haya kwa uaminifu na kwa dhati ya moyo wako bila kuidhulumu nafsi yako haki yake, utagundua kuwa "arguments" zako zinatawaliwa mapenzi na hisia mbaya na mbovu za kisiasa zilizovuka mipaka ya ustaarabu pasipo kuwa na uhalisia...!!
Nikuambie kitu kimoja tu kwa nia ya kukuelimisha kuhusu jambo moja muhimu sana ktk uhalisia wa maisha ya binadamu...
Kwamba, kutofautiana kimitazamo ni jambo la kawaida miongoni mwa wanajamii iwe ndani ya familia moja, kati ya wanandoa, wafanyakazi kwenye shirika ama kampuni moja na wanachama wenyewe ndani ya chama cha siasa...
Mfano, ndani ya CCM kwenyewe huwa kuna kutofautiana kimawazo. Lakini haiondoi ukweli kuwa wote hao bado wanakuwa wanachama wa chama kimoja...
Kama utakereka kwa kuwa tu mawazo yako hajaungwa mkono na wenzako, kama nilivyosema tangu awali kuwa, tatizo linakuwa siyo mawazo hasi ama yenye karaha ya wenzako. Tatizo halisi unakuwa ni wewe...!!
Mara nyingi watu wa dizaini yako, wasio na "kifua" cha kupokea mawazo ya kuwakosoa ama kuwapinga ama yaliyo kinyume na matakwa yao huwa ni wabinafsi (selfish) na mtu mbinafsi mara nyingi "option" yake ya mwisho akishindwa kwa hoja, ni kumdhuru mpinzani wake na kama ana uwezo atamuua kabisa...!
Hawa watu hawana sifa ya kuwa viongozi ktk jamii. Wanapaswa kuwa viongozi wa kujiongoza wao wenyewe tu....!
Kwa hiyo kama mnatumia kigezo hiki kupiga watu risasi ama kuwateka na kuwapoteza na kuwajeruhi wengine kama ilivyotokea kwa Mh. Freeman Mbowe leo, mnafanya vibaya na mnaonea watu bila sababu....
Kwa watu wenye akili watawadharau chadema kwa mipango yenu haiwezekan watu wamvamie mbowe uku wakisema jina la Rais pia watu watajua kua hua mnapanga Mambo yenu sababu ya ufhaifu wa serekal kwenye swala la ulinzi ndiomana hua mnatafuta maeneo ambayo mnajua kabisa hua Kuna walinz ili muishutumu serekal kwa kuhoji walinz walikua wap acheni ujinga
Basi mtuambie mbowe uo usiku alikua wap na alikua katoka kufanya nn? Na waliweza kumvamia vip
Kama hujui maana uliza, sasa Mwenyekiti wa Maisha lakini yeye siku zote hagombei urahisi, Leo Lisu ndio anatarajiwa au Lazaro, n.a. yeye Hai ,hali ni tete aache kutafuta pakutokea??? Akili ni nyweleInawezekana hata ile sumu ya Mangula ilikua ni exit plan yenu sio?
Vijana wa chadema watammaliza mbowe,inaonekana hawampendi mbowe
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Vipi Mangula ile sumu alipewa na nani maana tulimuona mpk mwenyekiti wenu wa taifa pale hosp. akimcheki hali yake huku Mambosasa akipiga mikwara ya hatari.Kama hujui maana uliza, sasa Mwenyekiti wa Maisha lakini yeye siku zote hagombei urahisi, Leo Lisu ndio anatarajiwa au Lazaro, n.a. yeye Hai ,hali ni tete aache kutafuta pakutokea??? Akili ni nywele
Anko tutafika kweli ?
Mkuu samahani lakini ndo hivyo, comment yako hapo juu ni ya hovyoooooo. " Anaye chelewa kurudi nyumbani avamiwe na kupigwa" by Mbingunikwetu et-al.Huna hoja!
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Mlevi wa Taifa!!!!Insane
Sawa!!!lakini sio Kama huyo Lilevi lenuHuna akiliView attachment 1472955
Na ulevi ukiwemoHayo matendo ujirudia kila panapo ucha
Bao lililomtoa Mbowe Cha ulevi lingeenda bafuni tuHili bao bora lingeenda chooni tu, siyo kwa utopolo huu.
Dereva wake atakuja kutuambia si yupo njiani analudi atakuja kuongea ukweli wote tujueLissu nae ilikuwa ndani ya CHADEMA?