Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Wewe unayekijua kiseme! Poor you! Acheni ramli chonganishi, na ya kwenu yanajulikaña pia
Kujitambua ndio msingi wa maisha salama. Baba wa Taifa aliwahi kutahadharisha kwa msemo wa kabila lake kuwa "anayeficha maradhi kilio humuumbua".
 
Hiyo chuki ni tafsiri yako, wa Tz wengi wapo busy na maisha yao na wana siasa wapo busy na Maisha yao, in fact unaweza kukuta hili tukio likawa exit plan ya victim , kisingizio kapigwa wakati kesha vuna vyakutosha
Inawezekana hata ile sumu ya Mangula ilikua ni exit plan yenu sio?
 
IMG_20200609_171702.jpg
 
Hivi Mbowe hakuna na wale mabaunsa wake?
Ilipotokea kwa Lisu mkajificha kwa dereva wake, sasa imetokea kwa Mbowe mnasingizia kwa nini hakuwa na ulinzi?! Yote ni kutafuta justification ya kutofanya uchunguzi.
 
Get well soon Mh Mbowe,hawa wamepagawa na wapo stressed and they are obsessed.Hawa wasiojulikana ni kina nani hasa hapa nchini?Hawa wanaowatuma wanaamini kwa mbinu kama hizi wanadhani ndiyo watapendwa na Wananchi?Kwa nini wanaendelea kutokujulina?Uimara wa vyombo vyetu vya ulinzi upo kwa kiwango gani?
Hivi kama viongozi wanashambuliwa katika maeneo rasmi yenye uangalizi/ulinzi 24/7 nani yupo salama nchi hii?Je,ni rahisi kiasi gani kumvamia Mbowe ambaye ni KUB,anatembea kwa gari muda mwingi inakuwaje kuvamiwa na vibaka?Alitekwa?Mambo ni mengi ila muda in finyu.
Mwenzako katunga movie, wewe unalia lia machozi, shauri yako
 
Mbona unajilisha upepo ndugu bila sababu yoyote? Mbona una argue mambo kwa hisia (emotions) zako badala ya uhalisia...?

Kama wewe unaona "karaha" kutoka kwenye baadhi ya maoni (comments) ya watu humu kwa kuwa ziko "hasi" na "interests" zako, basi tatizo siyo comments hizo bali tatizo halisi ni wewe mwenyewe...!

Hebu nikuulize maswali kadhaa na ukiweza kuyajibu kwa usahihi bila kuidhulumu nafsi yako, itapendeza na kukusaidia sana;

Tuambie, una maana gani kusema unaweza kuleta comments "hasi" na zenye "karaha" na "matusi" za wana CHADEMA 200?..

Umetumia kipimo gani tusichokijua sisi kuwatambua members wote wa JF kwa "nembo" zao za vyama vyao vya siasa?

Au ni lini na kwa kutumia vigezo gani hasa umeweza kuwa - classify members wa JF wote kuwa huyu ni CHADEMA , huyu ni CCM, huyu CUF, huyu ACT Wazalendo, huyu CHAUMA, huyu TLP na huyu hana chama nk nk?

Hebu tuambie umewezaje ndugu? Umetumia vigezo gani?...

Je, kwa kutumia kigezo hiki unachosema; "comments au maoni HASI na yenye KARAHA na yenye MATUSI " dhidi ya CCM na Magufuli?

Kipimo na tafsiri ya jumla (si yako wewe peke yako) ya; u - HASI, u- KARAHA na u - MATUSI ni ipi?

Kama utajibu maswali haya kwa uaminifu na kwa dhati ya moyo wako bila kuidhulumu nafsi yako haki yake, utagundua kuwa "arguments" zako zinatawaliwa mapenzi na hisia mbaya na mbovu za kisiasa zilizovuka mipaka ya ustaarabu pasipo kuwa na uhalisia...!!

Nikuambie kitu kimoja tu kwa nia ya kukuelimisha kuhusu jambo moja muhimu sana ktk uhalisia wa maisha ya binadamu...

Kwamba, kutofautiana kimitazamo ni jambo la kawaida miongoni mwa wanajamii iwe ndani ya familia moja, kati ya wanandoa, wafanyakazi kwenye shirika ama kampuni moja na wanachama wenyewe ndani ya chama cha siasa...

Mfano, ndani ya CCM kwenyewe huwa kuna kutofautiana kimawazo. Lakini haiondoi ukweli kuwa wote hao bado wanakuwa wanachama wa chama kimoja...

Kama utakereka kwa kuwa tu mawazo yako hajaungwa mkono na wenzako, kama nilivyosema tangu awali kuwa, tatizo linakuwa siyo mawazo hasi ama yenye karaha ya wenzako. Tatizo halisi unakuwa ni wewe...!!

Mara nyingi watu wa dizaini yako, wasio na "kifua" cha kupokea mawazo ya kuwakosoa ama kuwapinga ama yaliyo kinyume na matakwa yao huwa ni wabinafsi (selfish) na mtu mbinafsi mara nyingi "option" yake ya mwisho akishindwa kwa hoja, ni kumdhuru mpinzani wake na kama ana uwezo atamuua kabisa...!

Hawa watu hawana sifa ya kuwa viongozi ktk jamii. Wanapaswa kuwa viongozi wa kujiongoza wao wenyewe tu....!

Kwa hiyo kama mnatumia kigezo hiki kupiga watu risasi ama kuwateka na kuwapoteza na kuwajeruhi wengine kama ilivyotokea kwa Mh. Freeman Mbowe leo, mnafanya vibaya na mnaonea watu bila sababu....

Nimurudia mara nne ulichowakilisha , mkuu kwa kuwa umekwenda sana personal nasita kukuambia siwezi kukujibu. Kwa kuwa ninatakiwa kwenda persoal ili niwakilishe mawazo na muono wangu kwa ufasaha. Na kwa uelewa wangu huu uwanja sio sahihi.

Nashukuru nimekuelewa, umetumia maneno mengi kuwakilisha kilichomo akilini mwako. Naomba urudie mara nne uweze kujua umewakilisha nini ?. Nafarijika nimeupata ufahamu na uelewa wako kupitia kwa ulichowakilisha.
 
Kwa watu wenye akili watawadharau chadema kwa mipango yenu haiwezekan watu wamvamie mbowe uku wakisema jina la Rais pia watu watajua kua hua mnapanga Mambo yenu sababu ya ufhaifu wa serekal kwenye swala la ulinzi ndiomana hua mnatafuta maeneo ambayo mnajua kabisa hua Kuna walinz ili muishutumu serekal kwa kuhoji walinz walikua wap acheni ujinga


Basi mtuambie mbowe uo usiku alikua wap na alikua katoka kufanya nn? Na waliweza kumvamia vip

Unaakili fupi sana kwa haya mawazo yako
This shows how you think awkward
 
Inawezekana hata ile sumu ya Mangula ilikua ni exit plan yenu sio?
Kama hujui maana uliza, sasa Mwenyekiti wa Maisha lakini yeye siku zote hagombei urahisi, Leo Lisu ndio anatarajiwa au Lazaro, n.a. yeye Hai ,hali ni tete aache kutafuta pakutokea??? Akili ni nywele
 
Kama hujui maana uliza, sasa Mwenyekiti wa Maisha lakini yeye siku zote hagombei urahisi, Leo Lisu ndio anatarajiwa au Lazaro, n.a. yeye Hai ,hali ni tete aache kutafuta pakutokea??? Akili ni nywele
Vipi Mangula ile sumu alipewa na nani maana tulimuona mpk mwenyekiti wenu wa taifa pale hosp. akimcheki hali yake huku Mambosasa akipiga mikwara ya hatari.

Vipi exit plan yenu iilifanikiwa?
 
Anko tutafika kweli ?

...ujue nini anko, haya ndo madhara ya wtu wachache kuachwa wafanye wanachotaka (getting away with..) huku wengine wakikamatwa kwa shurti kwa kusema maneno ya kawaida kabisa dhidi ya watawala. Nitakupa mfano mdogo tu ambao waweza kuwa hauhusiani na hili, Musiba, anatoa maneno machavu na vitisho vya kuua na kuumiza wanaomsema vibaya JPM, hakuna hatua yoyote anayochukuliwa si na TCRA, polisi wala UwT. Yule jamaa wa Mbeya, Mdude akiandika kidogo kuhusu kuelezea mapungufu ya rais basi atapigwa na kusingiziwa kesi mbaya za kutweza.

Kuhusu kufika, tutafika tu hili wala halina shaka, muswada unapelekwa kuwalinda watawala na kwa kuona wenye macho wataongea akiwemo FAM, basi wanaona wamnyamazisha. tutafika kwa nana yetu na muda si mrefu. hata siku moja dhulma na twezo kwa wanaokupinga kwa hoja haijawahi kuwa njia nzuri ya kuleta uttangamano wa kisiasa mahali popote. Yana Mwisho
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!

We ni bwege kweli
 
Kichwa cha habari kinajieleza,pole sana mkuu.Mungu anapokua anakuandaa au kuandaa jombo fulani mahumivu ni lazima.

Najua fika maumivu ya ya kuvunjika maana hata mimi nilivunjika mwaka juzi kwa kuteleza na ngazi wakati namwagilia Nyumba yangu ,ilikua in kipindi kigum sana kwangu maana ni wakati nilikua nimebakiza week mbili tu kumaliza likizo ili nikatimize majukum yangu ya ki kazi .

Nikiwa na piron fracture na muogo zilipo isha SIKURUDI NYUMA NILISONGA MBELE,na muogo wangu na magogo yangu mawili tena kwa kusafili na mabasi mwendo mrefu ,na nilitimiza majukum yangu ,pamoja na maumivu makali niliyokua nasiki ,na ilifika mda nikalitoa mwenyewe li POP hata kabla ya mda nikabaki na magongo,so MR MBOWE DONT GIVE UP,lazima usimamie kile unacho kiamini mpaka mwisho wa tone la dam yako,
Pole pole pole sana Mkuu

Ipo siku kama sio Leo vizazi vijavyo watakuelewa sana .
Ni matumaini yangu ndani ya week 8-10 utakua unadunda but NEVER GIVE UP
 
Back
Top Bottom