Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..
Good leader...DONALD TRUMP...Jamani tuamke sasa wakati ni huu
Utakuwa hujielewi, hakuna chama chenye vijana wahuni wanaojifanya wajuaji kama CCM. Haiingii akilini Mbowe kupigwa na wengine nje ya vijana wahuni wa CCM ambao wanadhani kwa kufanya hivyo eti ni wazalendo.
Na mbaya zaidi utakuta wana vyeo ndani ya serikali ya Magufuli.
Anayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.
Mh Philip Mangula amepewa sumu na tunaofatilia siasa muda mrefu tunajua misimamo yake iliyofanya adhalilishwe miaka ya nyuma kabla hajarudi tena awamu hii. Kuna mapito ya kisiasa tunapitia ambayo misuguano huko ndani inawezekana ni mizito mno na cheche zake ndio kama hizi.
Saa nane usiku ni wazi kadhulumu wahuni wakampiga pini....Haya mambo tulishazoeaga Nchi zenye shidashida kama Burundi, Uganda, Rwanda huko naona taratibu yanabisha hodi Tanzania. Hii si nzuri kwa nchi ya Amani kama Tanzania
Hivi unaweza ku sacrifice mguu uvunjike just tu kwa ajili ya kuwin public sympathy?Mi nafikiri ni siasa tu za kuwin public sympathy
Kwa kweli nami nimecheka tu. yaani hapo plan yao ni kuonyesha laivu hao watu wamemvamia ni wa jpm. Hii nibya kitoto zaidi! Na ukute wamekaa karibu mwezi kupamga kakitu kakitu kakitu ka kitoto.Kwa watu wenye akili watawadharau chadema kwa mipango yenu haiwezekan watu wamvamie mbowe uku wakisema jina la Rais pia watu watajua kua hua mnapanga Mambo yenu sababu ya ufhaifu wa serekal kwenye swala la ulinzi ndiomana hua mnatafuta maeneo ambayo mnajua kabisa hua Kuna walinz ili muishutumu serekal kwa kuhoji walinz walikua wap acheni ujinga
Basi mtuambie mbowe uo usiku alikua wap na alikua katoka kufanya nn? Na waliweza kumvamia vip
Tuonyeshe huo mguu uliovunjika. Oooh, hapa mnaenda mvalisha pop..Hivi unaweza ku sacrifice mguu uvunjike just tu kwa ajili ya kuwin public sympathy?
Jamani tuamke sasa wakati ni huu
Vipi kuhusu Lisu kuchapwa risasiAnayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.
Mh Philip Mangula amepewa sumu na tunaofatilia siasa muda mrefu tunajua misimamo yake iliyofanya adhalilishwe miaka ya nyuma kabla hajarudi tena awamu hii. Kuna mapito ya kisiasa tunapitia ambayo misuguano huko ndani inawezekana ni mizito mno na cheche zake ndio kama hizi.
Nimekuelewa..sina haja ya kubishana hasa na wewe, nikujulishe tu, mleta mada amekuwa akiupdate taarifa yake na sihitaji unishukuru kwa kuuliza nilichouliza. Wengine huwa tunapenda kuuliza majibu ya maswali. Bahati mbaya huwezi kuangalia tofauti ya muda aliopst na muda niliochangia kutaka kufahamu zaidi.
Mbowe ni kiongozi wa umma, wengi tunaumizwa na kinachomtokea na kupata taarifa kamili ni hulka ya asiyekurupuka.
Nikushukuru kwa kuninukuu