Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Sasa umeongeza kuwa ni "green guards"... tuwe waangalifu... tusije kushindwa kupata ukweli kwa sababu mawazo yetu tayari yameanza kuelekezwa sehemu fulani..

Hapa ndipo tunapoona ni siasa inafanyika!!!!! Anyway

Am fade up with politics of nowdays
 
Haujatoa taarifa tu, ambapo ingetosha kutukusanya kujadili hii

Umeanza kuweka opinion zako na speculations which is wrong in reporting breaking news

Ungesema matukio ambayo recently mbowe na chadema kayafanya, ila sio kusema *kwa sababu this or that*

Unaua flow
 
Naangalia taarifa ya habari ITV nimehakikisha pasi na Shaka kuwa habari hii Ni ya ukweli!

Muda utazungumza, naandaa "The hit list"
Chuki, hasira na hamu ya kulipiza kisasi imejaa mpaka hakuna nafasi Tena rohoni, nimemuambukiza mpaka paka na mbwa wangu.
 
Utakuwa hujielewi, hakuna chama chenye vijana wahuni wanaojifanya wajuaji kama CCM. Haiingii akilini Mbowe kupigwa na wengine nje ya vijana wahuni wa CCM ambao wanadhani kwa kufanya hivyo eti ni wazalendo.

Na mbaya zaidi utakuta wana vyeo ndani ya serikali ya Magufuli.

Hivi Mbowe hakuna na wale mabaunsa wake?
 
Kwa watu wenye akili watawadharau chadema kwa mipango yenu haiwezekan watu wamvamie mbowe uku wakisema jina la Rais pia watu watajua kua hua mnapanga Mambo yenu sababu ya ufhaifu wa serekal kwenye swala la ulinzi ndiomana hua mnatafuta maeneo ambayo mnajua kabisa hua Kuna walinz ili muishutumu serekal kwa kuhoji walinz walikua wap acheni ujinga

Basi mtuambie mbowe uo usiku alikua wap na alikua katoka kufanya nn? Na waliweza kumvamia vip
 
Anayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.

Mh Philip Mangula amepewa sumu na tunaofatilia siasa muda mrefu tunajua misimamo yake iliyofanya adhalilishwe miaka ya nyuma kabla hajarudi tena awamu hii. Kuna mapito ya kisiasa tunapitia ambayo misuguano huko ndani inawezekana ni mizito mno na cheche zake ndio kama hizi.

Sure mkuu

Na kwa hali ya sasa ya CDM na mbowe ni ya kumuonea huruma zaidi kuliko haya

Lakini pia KUB hana ulinzi? Wako wapi wale walinzi wake??

Bado mtu ambaye haipendi CCM anaweza kabisa kufanya haya ili lawama ziende CCM, hii kitaalaamu wanaita 'third part' ambaye anafanya jambo akijua kabisa watalaumiwa watu fulani
 
Kwa watu wenye akili watawadharau chadema kwa mipango yenu haiwezekan watu wamvamie mbowe uku wakisema jina la Rais pia watu watajua kua hua mnapanga Mambo yenu sababu ya ufhaifu wa serekal kwenye swala la ulinzi ndiomana hua mnatafuta maeneo ambayo mnajua kabisa hua Kuna walinz ili muishutumu serekal kwa kuhoji walinz walikua wap acheni ujinga

Basi mtuambie mbowe uo usiku alikua wap na alikua katoka kufanya nn? Na waliweza kumvamia vip
Kwa kweli nami nimecheka tu. yaani hapo plan yao ni kuonyesha laivu hao watu wamemvamia ni wa jpm. Hii nibya kitoto zaidi! Na ukute wamekaa karibu mwezi kupamga kakitu kakitu kakitu ka kitoto.
 
Hii kitu imekuwa stage manage na saccos ili kuongeza hamasa kwa matukio ya Lisu kabla ya kuondoka na la jana
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Jamani tuamke sasa wakati ni huu
Anayefikiri JPM anaweza kubariki huu ujinga ni kichaa na mgonjwa wa ushabiki wa kisiasa. Mimi naamini kuna mambo ya ajabu yanaendelea kwenye siasa zetu ambayo hayawekwi wazi.

Mh Philip Mangula amepewa sumu na tunaofatilia siasa muda mrefu tunajua misimamo yake iliyofanya adhalilishwe miaka ya nyuma kabla hajarudi tena awamu hii. Kuna mapito ya kisiasa tunapitia ambayo misuguano huko ndani inawezekana ni mizito mno na cheche zake ndio kama hizi.
Vipi kuhusu Lisu kuchapwa risasi
 
Tatizo mnalalamika badala ya kuchukua hatua hasa ya vitendo

Hao watu wanajulikana vzr tuu kamateni ndugu zao ueni
 
..sina haja ya kubishana hasa na wewe, nikujulishe tu, mleta mada amekuwa akiupdate taarifa yake na sihitaji unishukuru kwa kuuliza nilichouliza. Wengine huwa tunapenda kuuliza majibu ya maswali. Bahati mbaya huwezi kuangalia tofauti ya muda aliopst na muda niliochangia kutaka kufahamu zaidi.

Mbowe ni kiongozi wa umma, wengi tunaumizwa na kinachomtokea na kupata taarifa kamili ni hulka ya asiyekurupuka.

Nikushukuru kwa kuninukuu
Nimekuelewa
 
Watu wanashangaa saa nane usiku, hawafahamu kuwa kuna wabunge makini hawalali baadhi ya siku kwa ajili ya majukumu yao kulinganga na vyeo vyao. Inawezekana vikao, kupitia taarifa, muswada, hoja zitakazowasilishwa nk. Kipindi taarifa ya kumshutumu EL bungeni imesomwa, kuna baadhi ya wabunge hawakulala kabisa wakipitia hoja za Mwaki na kamati yake
 
Back
Top Bottom