Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

Najaribu kujiuliza nakosa jibu nachanganyikiwa!!! M/KITI WA CHAMA TAIFA,KIONGOZI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI(WAZIRI MKUU KIVULI), MBUNGE,BUSINESS TYCOON, APIGWE NA WAHUNI?!!? YAANI HANA ULINZI WOWOTE HATA MABAUNSA?!!? HATA WAPAMBE?!!? NAKOSA MAJIBU
 
Hiii nchi Tuombe Mungu tu Sijui Kwanini Magufuli jana confidence kiasi hichi kama Kila kitu si mtu anaona ; hiii namna Wapinzani wanavyofanyiwa ikiwemo hata wapinzani ndani ya CCM inaenda kuitupa hii nchi kwenye machafuko makubwa
Inasikitisha sana kwa yeyote mwenye mapenzi mema na hii nchi
Huuu sio utamaduni wetu
 
Wakati ni sasa kuwashughulikia nyinyi mnaotaka kuigeuza nchi yetu tulio wachiwa na baba wa taifa mwl JK Nyerere kuwa kama Rwanda na Burundi
Good leader...DONALD TRUMP...
huu uzi uko wapi mkuu? Moderator sio watu wazuri aiseee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Taarifa umezipata usiku saa tisa?
Sidhani kama ni kweli hii ni dalili ya kushindwa na kutaka kuipaka matope serikali. KUB si ana mlinzi au alimtoroka akaenda night club?
 
Watu wanashangaa saa nane usiku, hawafahamu kuwa kuna wabunge makini hawalali baadhi ya siku kwa ajili ya majukumu yao kulinganga na vyeo vyao. Inawezekana vikao, kupitia taarifa, muswada, hoja zitakazowasilishwa nk. Kipindi taarifa ya kumshutumu EL bungeni imesomwa, kuna baadhi ya wabunge hawakulala kabisa wakipitia hoja za Mwaki na kamati yake

Viongozi wengi Makini huwa hawalali kabisa especially wakati kama Huu miswada ya ajabu ajabu inalelekwa bungeni ; Chama kinaelekea uchaguzi na tayari mmoja wa wagombea Makini ametangaza Nia
 
Wanachadema wakiongozwa na ngurumo wameanza kuvumisha taarifa za uongo kuwa amepigwa so sad,Waliokuwepo maisha club watasema ukweli,jinsi mbowe alivyosukumwa na kimada wake aliemnunua hapa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]usitumie nguvu nyingi kupotosha ukweli

Jr[emoji769]
Mbona sikuelewi?
 
Walimuuliza kwa nini anamsema vibaya rais Magufuli, mbona hilo liko wazi sasa.

It's another state sponsored thuggery as it has happened previously. They're not happy to see Chadema contesting for the presidency, they want this post to remain a special preserve of Mr. Magufuli only something that can't be possible.

Their intention is to scare opposition towards the October general elections. They've become jittery and nervous ahead of the elections.
 
Hili tukio kama likithibitishwa na vyombo husika..!Litaitia doa nchi yetu..!!Sio picha nzuri hasa katika nyakati hizi za kuelekea ktk uchaguzi mkuu..!
 
Wakati ni sasa kuwashughulikia nyinyi mnaotaka kuigeuza nchi yetu tulio wachiwa na baba wa taifa mwl JK Nyerere kuwa kama Rwanda na Burundi

Washaanzisha Iterahamwe uliona hata Askofu Gwajima alitoa tangazo kwa lugha ambayo sio kiswahili la kuwahamasisha vijana wajiunge
Polisi walichukua hatua gani?

Haya makundi ya kihalifu siku wanatemtetea anaindoka watajeuka waasi na itahitaji nguvu kubwa sana ya kijeshi kuwaondoa
 
Back
Top Bottom