Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hapo umesha mfukuza
Vipi kuhusu Lisu kuchapwa risasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu Lisu kuchapwa risasi
Hili swali la msingiIla vitu vingine jamani, inamaana Mbowe hana bodigadi,yaani anatembea bila walinzi?? Diamond ana bodgad sembuse Kub?? Tuache maigizo basi
Mkuu, ungelala tu asubuhi hii, naona umekeshaTuonyeshe huo mguu uliovunjika. Oooh, hapa mnaenda mvalisha pop..
Good leader...DONALD TRUMP...
huu uzi uko wapi mkuu? Moderator sio watu wazuri aiseee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wanashangaa saa nane usiku, hawafahamu kuwa kuna wabunge makini hawalali baadhi ya siku kwa ajili ya majukumu yao kulinganga na vyeo vyao. Inawezekana vikao, kupitia taarifa, muswada, hoja zitakazowasilishwa nk. Kipindi taarifa ya kumshutumu EL bungeni imesomwa, kuna baadhi ya wabunge hawakulala kabisa wakipitia hoja za Mwaki na kamati yake
Mbona sikuelewi?Wanachadema wakiongozwa na ngurumo wameanza kuvumisha taarifa za uongo kuwa amepigwa so sad,Waliokuwepo maisha club watasema ukweli,jinsi mbowe alivyosukumwa na kimada wake aliemnunua hapa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]usitumie nguvu nyingi kupotosha ukweli
Jr[emoji769]
Yaani Mboowe ajishambulie ili apate public sympathy ??Mi nafikiri ni siasa tu za kuwin public sympathy.
Anyway tusubiri pengine yaliyomo yamo
Wakati ni sasa kuwashughulikia nyinyi mnaotaka kuigeuza nchi yetu tulio wachiwa na baba wa taifa mwl JK Nyerere kuwa kama Rwanda na Burundi
Yaani LAANA yao si ndogo ndugu. Ndo maana hawafanikiwi.Yaani Mboowe ajishambulie ili apate public sympathy ??
Unalaana wewe si bure