DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana.

Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003

NB: Nakuwa mkweli mimi ni Dalali nafanya hizo kazi so mteja wangu ndio ametaka hiyo premise kwa ajili ya kutunzia mahitaji yake. So unapokuja PM naomba uje kiistarabbu tufanye kazi kiuungwana, kistaarabu na kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom