Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

Mersen

Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
56
Reaction score
65
Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai .
Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na matumizi mengine.

Kiwanja kina hati kabisa na hakidaiwi ukubwa ni HECTARES 3.1 kama inavoonekana kwenye document muhitaji serious tuwasiliane kupitia 0745607993

IMG-20211116-WA0000.jpg
 
Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai .
Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na matumizi mengine, Kiwanja kina hati kabisa na hakidaiwi ukubwa ni HECTARES 3.1 kama inavoonekana kwenye document muhitaji serious tuwasiliane kupitia 0745607993

View attachment 2027827
Hectares 3.1 au Acres 3.1!?
 
Bei ya kawaida sana kama uko interested Nipigie square meter ni 15 elfu
Sisi wengine tulisoma Ngumbalu! Ungeweka bei ya jumla kama hutojali. Hiyo bei kwa square meter, inatuchanganya.
 
Weka na bei basi ili tuje tukinunue faster.
Kwanza, kabla ya wanunuzi kujitokeza, afafanue juu ya hivyo VIPIMO. Nimeuliza ni HEKTA 2.1 au ni EKA 3.1 kwani hivi ni vipimo viwili tofauti sana. Au aweke ukubwa wa hicho kiwanja IN SQUARE METERS! Yaani ni SQ.M. NGAPI? Then ndiyo bei ifuate! Mbona ni kitu rahisi, anasuasua nini!?
 
1hectare = 2.471acres
3.1hectare = Xacres?
by xmultiplication
X=7.6601acres
therefore 3.1hectares = 7.6601acres
Then convert 7.6601acres into sqm
1acre = 4046.857sqm
7.6601acres = Ysqm?
by xmultiplication again
Y=30,999.329sqm
Since 1sqm = TShs15,000
Then 3.1hectares will fetch TShs15,000/sqmx30,999.329sqm
The sqms will cancel out
Therefore the total cost of the plot is TShs464,989,935/=
Karibuni kwa discussions
 
Boss sorry ckua hewani ila ni hectares 3.1 au hekari 7.7 au square meter zisizopungua elfu 31 na point.
 
1hectare = 2.471acres
3.1hectare = Xacres?
by xmultiplication
X=7.6601acres
therefore 3.1hectares = 7.6601acres
Then convert 7.6601acres into sqm
1acre = 4046.857sqm
7.6601acres = Ysqm?
by xmultiplication again
Y=30,999.329sqm
Since 1sqm = TShs15,000
Then 3.1hectares will fetch TShs15,000/sqmx30,999.329sqm
The sqms will cancel out
Therefore the total cost of the plot is TShs464,989,935/=
Karibuni kwa discussions
Nashukuru mkuu kwa wema na Maelezo yaliokamilika nakaribisha maongezi pia
 
Dodoma mnapandisha Bei ya kila kitu utadhani New York....Kuna kipindi Ulikua unaenda New York unapata Nyumba kwa Dola laki 2 wakati Masaki Dunia Ya 3 Kiwanja kiliuzwa dola mil 4.....
Magufuli alidhibiti huo Ujinga ukaisha Wenyewe.

Jifunzeni kusoma na Kufanya comparison analysis....sio unaamka unasema Kiwanja Mil 500 Dodoma mji mdogo huo unakusanyaje mil 500 Dodoma in return??
 
Back
Top Bottom