mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Ni kweli wa bongo hawajui bei ya aridhi kabisa, imagine mtu ana accre 7 Dodoma takriban 20km kutoka Town centre na anaiuza roughly 500m, wakati nikienda johnessburg City inestiment department na $1m, kwa lengo la kuwekeza ntapewa takribani accre 10 savayed za aridhi bure, kwa shariti la kuekeza, kwenye uchumi wao......sasa Dodoma ina uchumi gani wa kununua aridhi ya 500m kama sio ujinga, na uwekeze 2bn total investment iwe 2.5bn, biashara gani utaweka ulejeshe hiyo pesa kwa period of 10yrs.Dodoma mnapandisha Bei ya kila kitu utadhani New York....Kuna kipindi Ulikua unaenda New York unapata Nyumba kwa Dola laki 2 wakati Masaki Dunia Ya 3 Kiwanja kiliuzwa dola mil 4.....
Magufuli alidhibiti huo Ujinga ukaisha Wenyewe.