Kwa hiyo bei ya 15000@ square meter hectare 3. Lote ni billion na point.......duh.Bei ya kawaida sana kama uko interested Nipigie square meter ni 15 elfu
Hectares 3.1 au Acres 3.1!?Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai .
Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na matumizi mengine, Kiwanja kina hati kabisa na hakidaiwi ukubwa ni HECTARES 3.1 kama inavoonekana kwenye document muhitaji serious tuwasiliane kupitia 0745607993
View attachment 2027827
Sisi wengine tulisoma Ngumbalu! Ungeweka bei ya jumla kama hutojali. Hiyo bei kwa square meter, inatuchanganya.Bei ya kawaida sana kama uko interested Nipigie square meter ni 15 elfu
Kwanza, kabla ya wanunuzi kujitokeza, afafanue juu ya hivyo VIPIMO. Nimeuliza ni HEKTA 2.1 au ni EKA 3.1 kwani hivi ni vipimo viwili tofauti sana. Au aweke ukubwa wa hicho kiwanja IN SQUARE METERS! Yaani ni SQ.M. NGAPI? Then ndiyo bei ifuate! Mbona ni kitu rahisi, anasuasua nini!?Weka na bei basi ili tuje tukinunue faster.
Boss sorry ckua hewani ila ni hectares 3.1 au hekari 7.7 au square meter zisizopungua elfu 31 na point.Kwanza, kabla ya wanunuzi kujitokeza, afafanue juu ya hivyo VIPIMO. Nimeuliza ni HEKTA 2.1 au ni EKA 3.1 kwani hivi ni vipimo viwili tofauti sana. Au aweke ukubwa wa hicho kiwanja IN SQUARE METERS! Yaani ni SQ.M. NGAPI? Then ndiyo bei ifuate! Mbona ni kitu rahisi, anasuasua nini!?
Nashukuru mkuu kwa wema na Maelezo yaliokamilika nakaribisha maongezi pia1hectare = 2.471acres
3.1hectare = Xacres?
by xmultiplication
X=7.6601acres
therefore 3.1hectares = 7.6601acres
Then convert 7.6601acres into sqm
1acre = 4046.857sqm
7.6601acres = Ysqm?
by xmultiplication again
Y=30,999.329sqm
Since 1sqm = TShs15,000
Then 3.1hectares will fetch TShs15,000/sqmx30,999.329sqm
The sqms will cancel out
Therefore the total cost of the plot is TShs464,989,935/=
Karibuni kwa discussions
karibuNashukuru mkuu kwa wema na Maelezo yaliokamilika nakaribisha maongezi pia
Hongera umekitunza sana, hukuingia tamaa ya kubadili matumizi n.kNashukuru mkuu kwa wema na Maelezo yaliokamilika nakaribisha maongezi pia