Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Uza kidogo, kidogo ya nini Shida!Meja G. M. Kimario - CDA enzi hizo alifanya kazi ya kutukuka kuipanga Dom.
Tuliopata mapori enzi hizo, kwa sasa wajukuu wetu wanaomba tufe wauze makumi ya viwanja tulivyovipata vikiwa mapori.
Daah inanipa hasira hii kupishana na fursa, natamani sana kuwekeza kwenye real estate ila pesa bhana ndio kipengele.Meja G. M. Kimario - CDA enzi hizo alifanya kazi ya kutukuka kuipanga Dom.
Tuliopata mapori enzi hizo, kwa sasa wajukuu wetu wanaomba tufe wauze makumi ya viwanja tulivyovipata vikiwa mapori.
Maswali yote uliyo uliza, soma replies nilizo kujibu , ndiyo majibu yake hayo, hakuna majibu mengine.Hujanipa jibu lenye sababu
Nitaufanyia kazi mkuu, kwasasa pesa ndio mchawi yaani morali ninayo kubwa tu.Ushauri wa Bure kwako,nunua eneo popote kubwa,weka mipaka pima kama viwanja, utakuja kunishukuru,Mungu Mwema sana!
Mkuu nunua hata ekari Moja inatoa viwanja 5,6vya sqmeter 600!Daah inanipa hasira hii kupishana na fursa, natamani sana kuwekeza kwenye real estate ila pesa bhana ndio kipengele.
Dodoma kweli ukiona juu kwa drone pamepangika vizuri sana, hasa hiyo mitaa ya washua yaani imechorwa na kupangwa kwa umahiri mkubwa.
Hujatoa sababuMaswali yote uliyo uliza, soma replies nilizo kujibu , ndiyo majibu yake hayo, hakuna majibu mengine
Kila la kheriNitaufanyia kazi mkuu, kwasasa pesa ndio mchawi yaani morali ninayo kubwa tu.
Unauliza maswali kama mtoto, uliza swali lieleweke ili nikujibu kwa ufasaha unaoutaka.Hujatoa sababu
Bado najitafuta hata ajira/biashara sina so kwa baadae nitafanyaMkuu nunua hata ekari Moja inatoa viwanja 5,6vya sqmeter 600!
Kwanini unasema gharama za upkeep and utility services kwa dodoma ni ngumu kuliko Mwanza au Dar?Unauliza maswali kama mtoto, uliza swali lieleweke ili nikujibu kwa ufasaha unaoutaka.
Pale Mtumba kuna taasisi fulani zipo juu ya ardhi ambayo ilinunuliwa kama pori na Marehemu Mzee wangu, tulilifanya ni "runch" miaka hiyo.Uza kidogo, kidogo ya nini Shida!
Kaka nimesoma hapo chuo napafahamu sana nimepiga harakati kibao sana, Arusha starehe zao weekend, nimeishi pale, Dodoma starehe zao kila siku alafu ni vibe mwanzo mwisho, Dodoma msanii anaweza piga show katikati ya week na akajaza Kwa kiingilio, Arusha weekend,Mkuu umewaza mbali, ungekuwa na capital nadhani ungetimiza ndoto.
Kweli matajiri wa bongo bado hawajawa serious na dodoma.
Naona wachina wameanza kushitukia mchezo kwa kuanzisha Viwanda baada ya Bandari Kavu kukamilika, kuna Don mchina anaanzisha kiwanda cha Steel kikubwa Africa mashariki.
Dodoma ina maeneo mengi nje ya mji hayana muwekezaji hii ni Fursa kwa mtu anayeona mbele before its too late.
Dodoma ni eneo lenye ukame wa asili, gharama za kupata maji safi ni kubwa kwa sababu vyanzo vya maji viko mbali na vinahitaji miundombinu ghali ya pumping kupitia mabomba marefu.Kwanini unasema gharama za upkeep and utility services kwa dodoma ni ngumu kuliko Mwanza au Dar?
Vipi uliuza au ardhi ilitwaliwa kwa kulipwa fidia?Pale Mtumba kuna taasisi fulani zipo juu ya ardhi ambayo ilinunuliwa kama pori na Marehemu Mzee wangu, tulilifanya ni "runch" miaka hiyo.
Msalato kule airport mpya pia vile vile.
Mithali 19 : 14
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.
Dodoma maji yapo juu bwashee, nyumba nyingi saivi wanatoboa mwamba mita chache maji haya hapa.Dodoma ni eneo lenye ukame wa asili, gharama za kupata maji safi ni kubwa kwa sababu vyanzo vya maji viko mbali na vinahitaji miundombinu ghali ya pumping kupitia mabomba marefu.
Dar na Mwanza wana fursa kubwa ya vyanzo vya maji vya karibu na vya uhakika.
Jifunze kitu kimoja. Hakuna pori milele.Daah inanipa hasira hii kupishana na fursa, natamani sana kuwekeza kwenye real estate ila pesa bhana ndio kipengele.
Dodoma kweli ukiona juu kwa drone pamepangika vizuri sana, hasa hiyo mitaa ya washua yaani imechorwa na kupangwa kwa umahiri mkubwa.
Wewe tajiri mkuu,usilalamike Hali ngumu!Pale Mtumba kuna taasisi fulani zipo juu ya ardhi ambayo ilinunuliwa kama pori na Marehemu Mzee wangu, tulilifanya ni "runch" miaka hiyo.
Msalato kule airport mpya pia vile vile.
Mithali 19 : 14
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.
FidiaVipi uliuza au ardhi ilitwaliwa kwa kulipwa fidia?
Sahihi mkuu!Jifunze kitu kimoja. Hakuna pori milele.
Waweza nunua eneo ambalo ni pori leo, lakini kesho lilaja kukupa thamani mara milioni moja ya uliyonunulia pori hilo.
Goba ilikuwa ni pori, hata mashamba ni wachache tulikuwa tunalima,leo hii kiwanja cha meter square 700 tunauza 70M ilhali pori lilinunuliwa kwa tsh 2400 - ekari 7.
Hiyo groundwater mining ukiangalia kwa jicho la kitalaamu, sio suluhu endelevu kwa sababu.Dodoma maji yapo juu bwashee, nyumba nyingi saivi wanatoboa mwamba mita chache maji haya hapa.
Mwanza hiyo kila siku wanalia uhaba wa maji?