- Thread starter
- #81
Naamini wawekezaji watafungua njia, nature ya wagogo ni kama wazaramo wamezubaa, wageni ndio wameleta maendeleo.Kufurika Kwa watu au kuto furika kutategemeana na wana Dodoma wenyewe wamejipanga vipi Kwa fursa ndo mana nika sema bado hakuna mazingira ya kukwazika watu wasiende dar hakuna, hivo ni ngumu sana kuchangamka kama dar, waboreshe sehemu watu hawapend kutoka weekend kwenda dar ila ina walazimu