Dodoma ndio Jiji lenye modern real estate kwa Tanzania

Mkuu ulifika kweli Dom au uliishia Nyerere Square tu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚unajua idadi ya maghorofa yaliyopo
-Magufuli City Mtumba,
-Tambukareli Government City,
-UDOM
-Medeli
-Uzunguni(kwa Waheshimiwa)
-Njedengwa Investment Area
-Kisasa

N.k
Uko ni nje, hapo nimesoma, nimepiga harakati, ukitoka Dom hotel Kuna jengo gan hapo la mana hapo town
 
Jengeni mji wenu lakini tuachieni jina la Oysterbay yetu jamani.

Unakuwaje na Oysterbay bila bahari?

Huu ushamba gani huu?
 
Uko ni nje, hapo nimesoma, nimepiga harakati, ukitoka Dom hotel Kuna jengo gan hapo la mana hapo town
nina wasiwasi hujawahi fika Dom utakua umesimuliwa tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...ndiomana hujui Dodoma CBD inaishia wapi.
Kwa kukusaidia tu idadi ya maghorofa UDOM pekeyake yanakaribia 200,Magufuli City yanakaribia 100,Tambukareli zaidi ya 50,Njedengwa zaidi ya 50 na hapo bado sijakutajia ya Medeli,Miyuji Proper,Uzunguni,City Centre,Mji Mpya,Kisasa,Ilazo n.k
 
Mimi kama mkazi wa Dodoma napenda kushirikisha wadau mbalimbali juu ya fursa zilizopo.
Ujenzi kwa sasa unafanyika sana hivyo kama unajiweza kwenye kuuza vifaa vya ujenzi karibu sana Dodoma.

Sekta ingine ni Vipuri vya magari na ufundi, magari kwa sasa Dodoma ni Mengi sana nadhani kwenye top 4 Dodoma haiwezi kosekana kwa idadi kubwa ya vyombo vya usafiri ila Bajaj hatuwafikii mbeya city (kidding πŸ˜‚), hivyo basi kama unajiamini katika hizo nyanja mbili dodoma kuna fursa.

Na niwashauri wafanyabiashara wapya kufanikiwa sio kuweka ma faida makubwa bali huduma nzuri zenye uendelevuuu.

Karibuni iDodomya
 
Unashid wewe Hadi udom unahesabu
 
Jengeni mji wenu lakini tuachieni jina la Oysterbay yetu jamani.

Unakuwaje na Oysterbay bila bahari?

Huu ushamba gani huu?
Ushamba mwingi sana! Halafu unakuta li Mkurugenzi lipolipo tu mpaka watu wanalazimisha kuita Oysterbay Dodoma mara huko Kahama nako eti! Ujinga tu!
 
Mkuu ulifika kweli Dom au uliishia Nyerere Square tu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚unajua idadi ya maghorofa yaliyopo
-Magufuli City Mtumba,
-Tambukareli Government City,
-UDOM
-Medeli
-Uzunguni(kwa Waheshimiwa)
-Njedengwa Investment Area
-Kisasa

N.k
Ndio nimemdokeza hapo, watu wanajua city centre Dodoma ni nyerere square πŸ˜‚
Ila hapo Tambukareli NIC link πŸ™Œ
 
Jengeni mji wenu lakini tuachieni jina la Oysterbay yetu jamani.

Unakuwaje na Oysterbay bila bahari?

Huu ushamba gani huu?
Huo ushamba ni common disease kote Tanzania.
Ni kama Dar, unakuta hotel inaitwa Miami, Las Vegas etc just inspirational.
 
Ushamba mwingi sana! Halafu unakuta li Mkurugenzi lipolipo tu mpaka watu wanalazimisha kuita Oysterbay Dodoma mara huko Kahama nako eti! Ujinga tu!
Inashangaza ila bongo tunapenda inspiration kukuta hotel inaitwa Las Vegas au mtaa unaitwa Morocco, Argentina, etc ni kawaida.
 
Dodoma sio rahisi kuipiku dar es salaam hata kidogo . Dar es salaam ndio business hub ya Tanzania na Africa mashariki . Mji wenye bandari, airport , viwanda na ni gateway ya eat and central Africa.
 
Dodoma ukiishia Nyerere square ni kweli utaona hamna jipya.
Sasa sogea hapo NICC link City- Tambukareli, nenda Medeli unganisha Njedengwa pitia Kisasa nyoosha Ilazo endelea Magufuli city afu malizia na Itega πŸ™Œ hapo utapata picha future of dodoma city.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…