Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Area A ni mjini hapo kabisa karibu na Airport, nyuma ya Machinga au tuseme mkabala na Bahi Road au basi mkabala na Chinangali Park.Na ujanja wangu wote Area A sipajui, napajua Area C kule Lissu alipopigwa risasi ndio kunaitwa Site 1?
Washua ndio location zao hizo kuna limited accessibility kufika, unaogopa kufika maana hamna exit tofauti na mainroad.Ukiwa Itega mji unauona kwa chini. Hakuna mpangilio wowote sijui ni kitongoji gani kile.
Hawapo sahihi, tulishindwa kubadili jina baada ya ukoloni? Hii ina maana tunaishi ukoloni mambo leoKwa Dar mkuu wako sahihi, imeitwa hivyo tangu enzi za ukoloni! Baada ya kuona kwenye hiyo Ghuba kuna makombe mengi!
Bahi road si kizota?Area A ni mjini hapo kabisa karibu na Airport, nyuma ya Machinga au tuseme mkabala na Bahi Road au basi mkabala na Chinangali Park.
Lissu alipigiwa risasi Area D kwenye makazi ya wabunge.
Kizota ni mbali mzee, barabara ya kwenda Singida. Bahi Road ni nyuma ya Machinga sasahivi ndo niliona kuna soko dogo limejengwa la Mavunde. Hizo Area what what kweli zinachanganya inatakiwa upate wenyeji wakuelekeze vizuri. Mi napopafahamu kwa uhakika ni Area A, C na D.Bahi road si kizota?
Hizo Area zinanichanganya zipo hadi Area E?
Acha ushabiki. Nineandika hivi ukiwa Itega kuna kitongoji unakiona kwa chiniji hakijapangika sijui kinaitwaje.Washua ndio location zao hizo kuna limited accessibility kufika, unaogopa kufika maana hamna exit tofauti na mainroad.
Kuhusu kupangwa, nakupinga, Itega imepangwa kama mtu alichora na pencil hii unaona hata kwa drone aerial photograph, plots zote zipo well coordinated labda kama una personal biases.
Sasa mji upo mlimani ulitaka chini pasionekane?😂
Sehemu nyingi za Dodoma zilizo kwenye miinuko, ukiwa huko mji unauona kwa chini. Hata ukiwa Chimwaga Hall mji unauona kwa chini.Ukiwa Itega mji unauona kwa chini. Hakuna mpangilio wowote sijui ni kitongoji gani kile.
Ushabiki kivip?Acha ushabiki. Nineandika hivi ukiwa Itega kuna kitongoji unakiona kwa chiniji hakijapangika sijui kinaitwaje.
Hata Dar es Salaam tu ni jina la kigeni tunatakiwa tulibadili,ziwa Victoria, Mlima Livingstone, jiwe la Bismarck etc. Majina ya kikoloni tunayo mengi.Hawapo sahihi, tulishindwa kubadili jina baada ya ukoloni? Hii ina maana tunaishi ukoloni mambo leo
Hapo nimekuelewa kuna intersection zinachanganya maana ukisogea bahi road kuna road ya Chinangali ambayo unatokea Wajenzi kama sikoseiKizota ni mbali mzee, barabara ya kwenda Singida. Bahi Road ni nyuma ya Machinga sasahivi ndo niliona kuna soko dogo limejengwa la Mavunde. Hizo Area what what kweli zinachanganya inatakiwa upate wenyeji wakuelekeze vizuri. Mi napopafahamu kwa uhakika ni Area A, C na D.
Ni kweli, lingeitwa Ziwa Nyanza tu.Hata Dar es Salaam tu ni jina la kigeni tunatakiwa tulibadili,ziwa Victoria, Mlima Livingstone, jiwe la Bismarck etc. Majina ya kikoloni tunayo mengi.
Hapo umenipata,sasa ukiwa unapita hiyo road ya Chinangali kuelekea Wajenzi,kushoto kwako ndo kuna Area A na Chamwino. Siku moja utembee kwa miguu ukipata nafasi,nyumba zimepangika ila zimechoka haswaa, ni za urithi warangi wanaishi humo tangu enzi.Hapo nimekuelewa kuna intersection zinachanganya maana ukisogea bahi road kuna road ya Chinangali ambayo unatokea Wajenzi kama sikosei
what,dubai ni jangwa na wamejenga vizuriDodoma Kwenye Miundo mbinu Wamejitahidi,Ila Changamoto ya Dodoma Ni kukavu Balaa
Mimi kama mkazi wa Dodoma napenda kushirikisha wadau mbalimbali juu ya fursa zilizopo.
Ujenzi kwa sasa unafanyika sana hivyo kama unajiweza kwenye kuuza vifaa vya ujenzi karibu sana Dodoma.
Sekta ingine ni Vipuri vya magari na ufundi, magari kwa sasa Dodoma ni Mengi sana nadhani kwenye top 4 Dodoma haiwezi kosekana kwa idadi kubwa ya vyombo vya usafiri ila Bajaj hatuwafikii mbeya city (kidding 😂), hivyo basi kama unajiamini katika hizo nyanja mbili dodoma kuna fursa.
Na niwashauri wafanyabiashara wapya kufanikiwa sio kuweka ma faida makubwa bali huduma nzuri zenye uendelevuuu.
Karibuni iDodomya
Hapana, huu ni zaidi.Huo ushamba ni common disease kote Tanzania.
Ni kama Dar, unakuta hotel inaitwa Miami, Las Vegas etc just inspirational.
Kamalizie uzee Mwanza utakuja kunishukuru! Sato unaweza kuagiza akaja kufia kwenye chungu. Ni wewe tu!Sehemu pekee tanzania nikifika najihisi kuburudika nafsi ni DODOMA. Dodoma ukipanda Treni ya SGR ndio mkoa pekee sgr inapopita ukiwa unaingia Dodoma unapata view nzuri. Ukiwa unaingia Dar na SGR Yale majengo ya Kipawa na Vingunguti unaweza kusema uko Mitaa ya Islamabad.
Dodoma nadhani ndio sehemu nitaweka uzee wangu
Kitu pekee ambacho labda Dodoma haitaipiku Mwanza ni population tu manake Wasukuma wanazaliana sana+hawanaga uzazi wa mpango😅😅 lakini vigezo vingine vyote mfano ubora wa mipangomiji, ubora wa miundombinu,ubora wa huduma za kijamii ,vyuo vikuu,maghorofa+majengo ya serikali ,mtandao mpana wa lami,uwepo wa taasisi nyingi za serikali,balozi ,mashirika ya kimataifa,makao makuu ya chama+serikali n.k MWANZA ndio ikajifunze Dodoma huo ndio ukweli mchunguHaiwezi kuipiku Mwanza hata kwa dawa! Miaka 10nijayo Mwanza inaenda kuungana na Misungwi pamoja na Magu! Sasa hivi inaelekea kuungana na Kayenze! Magorofa sasa yanavyoporomoshwa usiombe!