paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,504
Lijualikali amesalitiwa na Chadema alijitoa kuipigania mwishowe akaambulia matekeHuyu lijuakali si ndiye aliswekwa magereza na jiwe?
Kweli amenyooshwa
Dah! Inasikitisha,Hawa ni Wabunge wanaojielewa ,wanajua wamekuja kufanya nini Bungeni.WANANCHI KWANZA
Huyu amehaidiwa kupewa ukuu wa wilaya au ukuu wa mkoaLijualikali amesalitiwa na Chadema alijitoa kuipigania mwishowe akaambulia mateke
Huyu ataunga juhudi sio muda mrefuNamkumbuka sana mshkaji wangu Silinde kipindi cha mgomo wa 2008 pale Utawala
So nice guy killing his career untimely. ...
So sad..
Mbaya zaidi wakifukuzwa chama wanamwita dikteta.Silinde alishafika makubaliano kitambo sana, Lijualikali vilevileMbowe anachukuliwa poa sana
Ngumu sana, huu ujinga uliofanywa Na lijualikali Na silinde Ni ngumu kuuona ccm, unafyekwa Mara moja.Hivi Kuna mbunge wa CCM anaweza kwenda Kinyume na maagizo ya Chama, hizi dakika za mwisho inabidi wacheze game kwa stepu sana.
Chadema ndio inakufa hiyo bwashee!