Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

Vicoba kama vicoba havina shida yoyote.
Vicoba vina shiiiiida nyingi tu ndio maana watu wanakufa visingekua na shida watu wasingekua wanakufa kizembe hivi kisa Vocoba
 
Vicoba vina shiiiiida nyingi tu ndio maana watu wanakufa visingekua na shida watu wasingekua wanakufa kizembe hivi kisa Vocoba
Vipi bodaboda kila siku zinaua watu?
 
Mpe hela anayoifata huko vicoba.
Watu wenye akili zao wananufaika...hata wanaume wapo huko waulize wenzako
Pesa anapewaaaa ila Vicoba haviishi shida ndio inakuja hapo
 
Kama anatekeleza majukumu yake na hakusumbui marejesho tatizo likwapi?
Tatizo Vicoba haviishi kila siku ni Vicoba Vicoba Vicoba hadi unajiuliza hivi Vicoba vina nini kwani mbon vinawekwa mbele saaana yaan Kikoba kimewekwa mbele mbele utadhani nini sijui
 
Wanaume ni wanafiki Sana uyo mke anawazazi wake na ndugu zake hataki mkewe afanye biashara hataki acheze vikoba bado ata ela ya chupi hapati ikitokea mzazi kapata shida uwa niwagumu mno kusaidia familia ya mke wake

Ivyo vikoba vinasaidia mno na wao wanalijua ilo bc tuu kujizima data
 
Mwanamke kama jina chanzo cha kipato kamwe usiingize kwenye vikoba, utaitesa familia yako tu.
Mme aacha hela ya nyama wewe unawalisha dagaa ili usave hela ya marejesho
 
Una uhakika haaaapati au unasema tu kwenye 50/50 yenu?

Hio pesa ya Vicoba yenyewe anatoa mwanaume unasemaje hawezi kumnunulia chupi?
 
  • Mtu hana akiba ya kuweka, anaabzisha utaratibu wa kuweka akiba.
  • Ufafanuzi inahitajika: je alirudi usiku wa manane akiwa kutafuta marejesho?, je aliporudi na kuulizwa alijibu nini?, n k
 
Tatizo Vicoba haviishi kila siku ni Vicoba Vicoba Vicoba hadi unajiuliza hivi Vicoba vina nini kwani mbon vinawekwa mbele saaana yaan Kikoba kimewekwa mbele mbele utadhani nini sijui
Mwache na ndoto zake kama havimsaidii atajua mwenyewe mbele ya safari. Ataachana na vicoba afanye mengine utalalamika tena.
 
Inasikitisha. Ninamshukuru Mungu mpaka sasa sijawahi kuwa kwenye kikoba. Kwani mtu unakopa then lazima urejeshe siku iliyopangwa?By the way kwani unakopa kwa nini usihakikishe unazalisha faida ?Kama sivyo ni nini faida ya Kikoba ?
 
Mwache na ndoto zake kama havimsaidii atajua mwenyewe mbele ya safari. Ataachana na vicoba afanye mengine utalalamika tena.
Sawa mkuu ushauri huu nauchukua
 
Inasikitisha. Ninamshukuru Mungu mpaka sasa sijawahi kuwa kwenye kikoba. Kwani mtu unakopa then lazima urejeshe siku iliyopangwa?By the way kwani unakopa kwa nini usihakikishe unazalisha faida ?Kama sivyo ni nini faida ya Kikoba ?
Kutiana hasira na stress zisizo na sababu labda ndio hio faida kwa wanaoingia head to head
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…