Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

Vicoba kama vicoba havina shida yoyote.
Vicoba vina shiiiiida nyingi tu ndio maana watu wanakufa visingekua na shida watu wasingekua wanakufa kizembe hivi kisa Vocoba
 
Vicoba vina shiiiiida nyingi tu ndio maana watu wanakufa visingekua na shida watu wasingekua wanakufa kizembe hivi kisa Vocoba
Vipi bodaboda kila siku zinaua watu?
 
Mpe hela anayoifata huko vicoba.
Watu wenye akili zao wananufaika...hata wanaume wapo huko waulize wenzako
Pesa anapewaaaa ila Vicoba haviishi shida ndio inakuja hapo
 
Kama anatekeleza majukumu yake na hakusumbui marejesho tatizo likwapi?
Tatizo Vicoba haviishi kila siku ni Vicoba Vicoba Vicoba hadi unajiuliza hivi Vicoba vina nini kwani mbon vinawekwa mbele saaana yaan Kikoba kimewekwa mbele mbele utadhani nini sijui
 
Tuondoa dhana potofu kuhusu vikoba,wengine wamesomesha mpaka watoto wao wanaliza kupitia vikoba,wamenunua viwanja na kujenga nyumba kupitia vikoba,kuna watu wanalalamika kuhusu vikoba Cha ajabu ukimuuliza mara ya mwisho kumnunilia au kumpa mkeo hela ya kumnunilia chupi,sidiria,kiatu ,mafuta,kumnunilia watoto wake mahitaji ya shule na nyumbani Ni lini hakumbuki hata mwaka.kitunguu,nyanya hajui hata Bei Basi hata kumpa mkeo hela ya akiba hajawahi hujui. Tafuta pesa timiza wajibu wako kwa familia ili uweze kuwa na nguvu ya kuamua kwamba hiki sitaki ufanye hiki ufanye utamwambiaje mtu asicheze kikoba wakati ndio kinachohudumia family yako
Wanaume ni wanafiki Sana uyo mke anawazazi wake na ndugu zake hataki mkewe afanye biashara hataki acheze vikoba bado ata ela ya chupi hapati ikitokea mzazi kapata shida uwa niwagumu mno kusaidia familia ya mke wake

Ivyo vikoba vinasaidia mno na wao wanalijua ilo bc tuu kujizima data
 
Mwanaume anakuoa hakuna cha nguo wala mafuta ya kupaka... sana sana ukimpata ambaye kidoooooogo mwenye afadhali atakulipia ada tu za watoto na chakula cha home mengine utajiju.

Sasa huyu mwanamke jobless na mwenye mahitaji yake muhimu ataishije bila vikundi vya kujiwekea akiba na kukopa?
Mwanamke kama jina chanzo cha kipato kamwe usiingize kwenye vikoba, utaitesa familia yako tu.
Mme aacha hela ya nyama wewe unawalisha dagaa ili usave hela ya marejesho
 
Wanaume ni wanafiki Sana uyo mke anawazazi wake na ndugu zake hataki mkewe afanye biashara hataki acheze vikoba bado ata ela ya chupi hapati ikitokea mzazi kapata shida uwa niwagumu mno kusaidia familia ya mke wake

Ivyo vikoba vinasaidia mno na wao wanalijua ilo bc tuu kujizima data
Una uhakika haaaapati au unasema tu kwenye 50/50 yenu?

Hio pesa ya Vicoba yenyewe anatoa mwanaume unasemaje hawezi kumnunulia chupi?
 
  • Mtu hana akiba ya kuweka, anaabzisha utaratibu wa kuweka akiba.
  • Ufafanuzi inahitajika: je alirudi usiku wa manane akiwa kutafuta marejesho?, je aliporudi na kuulizwa alijibu nini?, n k
 
Tatizo Vicoba haviishi kila siku ni Vicoba Vicoba Vicoba hadi unajiuliza hivi Vicoba vina nini kwani mbon vinawekwa mbele saaana yaan Kikoba kimewekwa mbele mbele utadhani nini sijui
Mwache na ndoto zake kama havimsaidii atajua mwenyewe mbele ya safari. Ataachana na vicoba afanye mengine utalalamika tena.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Peter Mwakiposile kwa tuhuma za kumuua mkewe Aisha Ramadhani mkazi wa Chidachi kwa kumpiga hadi kufariki, kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani akitafuta fedha za rejesho la kikundi cha kikoba.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma ACP Martin Otieno ameeleza kuwa mtuhumiwa yupo chini ya ulinzi wakati akisubiri taratibu za kufikishwa Mahakamani huku mwili wa marehemu Aisha Ramadhani ukiwa umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kwa taratibu za mazishi.

View attachment 2348696
Inasikitisha. Ninamshukuru Mungu mpaka sasa sijawahi kuwa kwenye kikoba. Kwani mtu unakopa then lazima urejeshe siku iliyopangwa?By the way kwani unakopa kwa nini usihakikishe unazalisha faida ?Kama sivyo ni nini faida ya Kikoba ?
 
Mwache na ndoto zake kama havimsaidii atajua mwenyewe mbele ya safari. Ataachana na vicoba afanye mengine utalalamika tena.
Sawa mkuu ushauri huu nauchukua
 
Inasikitisha. Ninamshukuru Mungu mpaka sasa sijawahi kuwa kwenye kikoba. Kwani mtu unakopa then lazima urejeshe siku iliyopangwa?By the way kwani unakopa kwa nini usihakikishe unazalisha faida ?Kama sivyo ni nini faida ya Kikoba ?
Kutiana hasira na stress zisizo na sababu labda ndio hio faida kwa wanaoingia head to head
 
Back
Top Bottom