Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Vicoba vina shiiiiida nyingi tu ndio maana watu wanakufa visingekua na shida watu wasingekua wanakufa kizembe hivi kisa VocobaVicoba kama vicoba havina shida yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vicoba vina shiiiiida nyingi tu ndio maana watu wanakufa visingekua na shida watu wasingekua wanakufa kizembe hivi kisa VocobaVicoba kama vicoba havina shida yoyote.
Ha haaa mkuu Inaonekana wifi yetu na vicoba damdamWewe Pombe sio Vicoba usichanganye madesa hapa
Vipi bodaboda kila siku zinaua watu?Vicoba vina shiiiiida nyingi tu ndio maana watu wanakufa visingekua na shida watu wasingekua wanakufa kizembe hivi kisa Vocoba
Pesa anapewaaaa ila Vicoba haviishi shida ndio inakuja hapoMpe hela anayoifata huko vicoba.
Watu wenye akili zao wananufaika...hata wanaume wapo huko waulize wenzako
Kama anatekeleza majukumu yake na hakusumbui marejesho tatizo likwapi?Pesa anapewaaaa ila Vicoba haviishi shida ndio inakuja hapo
Sitaki hata kuvisikia vinaboaHa haaa mkuu Inaonekana wifi yetu na vicoba damdam
Just relax, una complicate mambo tuSitaki hata kuvisikia vinaboa
Tatizo Vicoba haviishi kila siku ni Vicoba Vicoba Vicoba hadi unajiuliza hivi Vicoba vina nini kwani mbon vinawekwa mbele saaana yaan Kikoba kimewekwa mbele mbele utadhani nini sijuiKama anatekeleza majukumu yake na hakusumbui marejesho tatizo likwapi?
Vicoba vinakera nyie hamjui tuJust relax, una complicate mambo tu
Wanaume ni wanafiki Sana uyo mke anawazazi wake na ndugu zake hataki mkewe afanye biashara hataki acheze vikoba bado ata ela ya chupi hapati ikitokea mzazi kapata shida uwa niwagumu mno kusaidia familia ya mke wakeTuondoa dhana potofu kuhusu vikoba,wengine wamesomesha mpaka watoto wao wanaliza kupitia vikoba,wamenunua viwanja na kujenga nyumba kupitia vikoba,kuna watu wanalalamika kuhusu vikoba Cha ajabu ukimuuliza mara ya mwisho kumnunilia au kumpa mkeo hela ya kumnunilia chupi,sidiria,kiatu ,mafuta,kumnunilia watoto wake mahitaji ya shule na nyumbani Ni lini hakumbuki hata mwaka.kitunguu,nyanya hajui hata Bei Basi hata kumpa mkeo hela ya akiba hajawahi hujui. Tafuta pesa timiza wajibu wako kwa familia ili uweze kuwa na nguvu ya kuamua kwamba hiki sitaki ufanye hiki ufanye utamwambiaje mtu asicheze kikoba wakati ndio kinachohudumia family yako
Mwanamke kama jina chanzo cha kipato kamwe usiingize kwenye vikoba, utaitesa familia yako tu.Mwanaume anakuoa hakuna cha nguo wala mafuta ya kupaka... sana sana ukimpata ambaye kidoooooogo mwenye afadhali atakulipia ada tu za watoto na chakula cha home mengine utajiju.
Sasa huyu mwanamke jobless na mwenye mahitaji yake muhimu ataishije bila vikundi vya kujiwekea akiba na kukopa?
Una uhakika haaaapati au unasema tu kwenye 50/50 yenu?Wanaume ni wanafiki Sana uyo mke anawazazi wake na ndugu zake hataki mkewe afanye biashara hataki acheze vikoba bado ata ela ya chupi hapati ikitokea mzazi kapata shida uwa niwagumu mno kusaidia familia ya mke wake
Ivyo vikoba vinasaidia mno na wao wanalijua ilo bc tuu kujizima data
Mwache na ndoto zake kama havimsaidii atajua mwenyewe mbele ya safari. Ataachana na vicoba afanye mengine utalalamika tena.Tatizo Vicoba haviishi kila siku ni Vicoba Vicoba Vicoba hadi unajiuliza hivi Vicoba vina nini kwani mbon vinawekwa mbele saaana yaan Kikoba kimewekwa mbele mbele utadhani nini sijui
Inasikitisha. Ninamshukuru Mungu mpaka sasa sijawahi kuwa kwenye kikoba. Kwani mtu unakopa then lazima urejeshe siku iliyopangwa?By the way kwani unakopa kwa nini usihakikishe unazalisha faida ?Kama sivyo ni nini faida ya Kikoba ?Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Peter Mwakiposile kwa tuhuma za kumuua mkewe Aisha Ramadhani mkazi wa Chidachi kwa kumpiga hadi kufariki, kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani akitafuta fedha za rejesho la kikundi cha kikoba.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma ACP Martin Otieno ameeleza kuwa mtuhumiwa yupo chini ya ulinzi wakati akisubiri taratibu za kufikishwa Mahakamani huku mwili wa marehemu Aisha Ramadhani ukiwa umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kwa taratibu za mazishi.
View attachment 2348696
Nenda nae ukaone inavyokuwa.Vicoba vinakera nyie hamjui tu
Sawa mkuu ushauri huu nauchukuaMwache na ndoto zake kama havimsaidii atajua mwenyewe mbele ya safari. Ataachana na vicoba afanye mengine utalalamika tena.
Siendi Mimi ukoNenda nae ukaone inavyokuwa.
Hakikisha tu anatekeleza majukumu yake. Kama anaenda kikawaida haijaathiri mambo mengine mwache afanyeSawa mkuu ushauri huu nauchukua
Kutiana hasira na stress zisizo na sababu labda ndio hio faida kwa wanaoingia head to headInasikitisha. Ninamshukuru Mungu mpaka sasa sijawahi kuwa kwenye kikoba. Kwani mtu unakopa then lazima urejeshe siku iliyopangwa?By the way kwani unakopa kwa nini usihakikishe unazalisha faida ?Kama sivyo ni nini faida ya Kikoba ?