Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

😅😅😅 serikali ipo busy na kukusanya tozo, tena ikupe suluhisho la mahusiano yako? You are not serious
Vicoba vinaingiza pesa serikalini..kuna miamla ya kufa mtu kule
Basi na watu wataendelea kufa km ni hivyo na watakufa saaana

Mark my words
 
Kwanini iwekwe sheria? Kwaajili ya kulinda nini? Vicoba ni kitu halali kuna ambao vinawasaidia sana.
Kila kitu kina madhara na faida
Basi Kama ndo hivyo ka maoni ya huyo jamaa inabidi hata pombe ipigwe marufuku, maana vifo vilivyosababishwa na pombe Ni vingi kuliko hivyo vya vikoba.

Anatumia akili ndogo kufikia hitimisho la hoja yenye masrahi mapana kwa jamii
 
Basi na watu wataendelea kufa km ni hivyo na watakufa saaana

Mark my words
Wafe tu kuna wengine watazaliwa.

Ni mjinga pekee ataua eti kisa mke kaenda kikoba.

Na wewe nenda bar ukaangalie mpira.

Mchawi pesa ndugu yangu.
 
Sawa sasa hawa wanauliwa na wengine wanaamua kujiua kabisa sababu ni nini

Nakwambia Mimi nimenuniwa kisa hio michezo yenu ya kipuuzi leo siku ya pili kisa Vicoba kila siku Vicoba kila siku Vicoba mnanufaika...
Muulize mkeo km ana akili au hana...me niko kikoba na hela ya hisa napata kihalali kabisa..
 
Basi Kama ndo hivyo ka maoni ya huyo jamaa inabidi hata pombe ipigwe marufuku, maana vifo vilivyosababishwa na pombe Ni vingi kuliko hivyo vya vikoba.

Anatumia akili ndogo kufikia hitimisho la hoja yenye masrahi mapana kwa jamii
Nashindwa kumuelewa ujue.
Na wachepukaji wahasiwe ili kulinda tusiuane
 
Muulize mkeo km ana akili au hana...me niko kikoba na hela ya hisa napata kihalali kabisa..
Sasa hao wanaokufa wanakosea wapiiiii mbon wanakufa km mnanufaika sasa nini shida?

Elezea hapa sababu ni nini?

Utofauti wako weewe na wao ni upi?
 
Sasa hao wanaokufa wanakosea wapiiiii mbon wanakufa km mnanufaika sasa nini shida?

Elezea hapa sababu ni nini?

Utofauti wako weewe na wao ni upi?
Wangapi wamekufa kwaajili ya vicoba?
 
Wafe tu kuna wengine watazaliwa.
Ni mjinga pekee ataua eti kisa mke kaenda kikoba.
Na wewe nenda bar ukaangalie mpira.
.
.
Mchawi pesa ndugu yangu.
Mchawi Pesa ila sio za VICOBA
 
³Basi Kama ndo hivyo ka maoni ya huyo jamaa inabidi hata pombe ipigwe marufuku, maana vifo vilivyosababishwa na pombe Ni vingi kuliko hivyo vya vikoba.

Anatumia akili ndogo kufikia hitimisho la hoja yenye masrahi mapana kwa jamii
Sijui ana stress huyu....haelewekii.. kama mkewe wamemkula ili apate hisa ni yeye asijumuishe watu wote
 
Watanzania wengi tuna shida ya afya ya akili.
 
Tuondoa dhana potofu kuhusu vikoba,wengine wamesomesha mpaka watoto wao wanaliza kupitia vikoba,wamenunua viwanja na kujenga nyumba kupitia vikoba,kuna watu wanalalamika kuhusu vikoba Cha ajabu ukimuuliza mara ya mwisho kumnunilia au kumpa mkeo hela ya kumnunilia chupi, sidiria, kiatu , mafuta, kumnunilia watoto wake mahitaji ya shule na nyumbani Ni lini hakumbuki hata mwaka. kitunguu, nyanya hajui hata Bei Basi hata kumpa mkeo hela ya akiba hajawahi hujui.

Tafuta pesa timiza wajibu wako kwa familia ili uweze kuwa na nguvu ya kuamua kwamba hiki sitaki ufanye hiki ufanye utamwambiaje mtu asicheze kikoba wakati ndio kinachohudumia family yako
 
Hawa wanawake was Siku hizi ni shida anakopa hakushirikishi ila hodi kila siku za kudaiwa mpaka kero unaamua kumlipia kwa shingo upande
 
Basi Kama ndo hivyo ka maoni ya huyo jamaa inabidi hata pombe ipigwe marufuku, maana vifo vilivyosababishwa na pombe Ni vingi kuliko hivyo vya vikoba.

Anatumia akili ndogo kufikia hitimisho la hoja yenye masrahi mapana kwa jamii
Wewe Pombe sio Vicoba usichanganye madesa hapa
 
Vikoba vinavunja ndoa za watu, vikoba vinaua, vikoba vinahatarisha maisha ya watu. Maisha ni mgumu sana mtaani.
 
Back
Top Bottom