Tuondoa dhana potofu kuhusu vikoba,wengine wamesomesha mpaka watoto wao wanaliza kupitia vikoba,wamenunua viwanja na kujenga nyumba kupitia vikoba,kuna watu wanalalamika kuhusu vikoba Cha ajabu ukimuuliza mara ya mwisho kumnunilia au kumpa mkeo hela ya kumnunilia chupi, sidiria, kiatu , mafuta, kumnunilia watoto wake mahitaji ya shule na nyumbani Ni lini hakumbuki hata mwaka. kitunguu, nyanya hajui hata Bei Basi hata kumpa mkeo hela ya akiba hajawahi hujui.
Tafuta pesa timiza wajibu wako kwa familia ili uweze kuwa na nguvu ya kuamua kwamba hiki sitaki ufanye hiki ufanye utamwambiaje mtu asicheze kikoba wakati ndio kinachohudumia family yako