bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,019
Jiwe kakurupuka tu mbona la walimu kuwa na diploma ni jambo lenye manufaa kwa kupandisha elimu yetuIpo mifano mingi inayoonesha ubingwa wa kutengeneza matatizo kisha kuyatatua ili aonekane ni mwema...
Ilianza kwa Kabudi kuitwa mpumbavu sasa aona ameota mapembe juzi kati kawatukana Tunduma naona atakuja kututukana Watanzania wote Wasengerema hapo ni malezi aliyo kulia kutikana nduguzake wa kuzaliwa haswa marehemu dada yake.Unamuita daktari mpumbavu? jamani? unafuta kwa kauli tu? hapana si sawa!! mamlaka zikanushe kwa tangazo na waweke saini kama alivyofanya Dkt Ave
Najiuliza kosa lake ni tamko alilotoa?Yaani Naibu waziri siku zote tangu ateuliwe hakuwahi kuliona hili la walimu wenye daraja la cheti? maana kuna muda kama kuna watu huwa wanatolewa kafara ili mambo yaende sawia...
Kawa dhalilisha mama Janet na Majaliwa kwa vyeti walivyo dumaa navyo pasipo kujiendeleza
Uzuri wa nyumba zao unatoka kama unakwenda kusalimu ndugu, ni wewe na nguo zako.Maskini Naibu Katibu Mkuu. Kama ulikuwa kwenye nyumba ya Serikali, Anza mipango fasta ya kuhama!?
Busara na jiwe wapi na wapi?Ukiangalia kwa jicho la tatu sio uamuzi wa kipumbavu kama alivyosema yeye, ingekuza kiwango cha elimu lakini imekuwa wazo la kipumbavu kwake kwa maana yupo kwenye kampeni na atakosa kura ndo maana kapiga simu live.
Ingawa wengi watakosa ajira lakini siyo wazo la kipumbavu angetumia maneno ya busara kidogo.
Mama sio mrMajaliwa alijiendeleza sana tu hadi Masters
Na wale wakufunzi walikuwa kwenye refresher course 350 kutoka vyuo 18 waliwapeleka kwa ajili ya nini?Yaani Naibu waziri siku zote tangu ateuliwe hakuwahi kuliona hili la walimu wenye daraja la cheti? maana kuna muda kama kuna watu huwa wanatolewa kafara ili mambo yaende sawia...
Tanzania hamna kitu km hicho, box la kura haliwezi leta mabadiliko yoyote katika uchaguzKwani Raisi wa Malawi huyu mpya alitangazwa na tume ipi??? Si ile ile ya Mutharika!! Nguvu ya umma haijawai kufeli duniani
Utajua hujui mwaka huuTanzania hamna kitu km hicho, box la kura haliwezi leta mabadiliko yoyote katika uchaguz
hapo bila shaka wadau wote wa elimu walikaa chini halafu yeye anakuja kusema hao watu ni wapumbavuYaani wadau wasomi wawe na wazo la kipumbavu?