Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Huyu hapati kura yangu, ni miaka mitano sasa ninasubili mshahara Mpya, hata ile annual increment imekuwa shida. Kura yangu ni kwa Lissu tu.
Wala hilo siyo la kuuliza! Ni mpumbavu na tangazo lake la kipumbavu!Kwamba Madam Dokta Ave Maria Semakafu Naibu katibu Mkuu wa wizara ndio MPUMBAVU?
Kwani Raisi wa Malawi huyu mpya alitangazwa na tume ipi??? Si ile ile ya Mutharika!! Nguvu ya umma haijawai kufeli dunianiLissu atatangazwa na tume ipi?
Kwa tangazo hiki, mkewe pia ni mpumbavu.Ndio maana imebidi apumzike kwanza na kampeni, kwani ni ajabu kusema tangazo la kipumbafu wakati linatoka kwako mwenyewe kwa maana ya serikali unayoiongoza! Hivi mkewe ni mwalimu wa ngazi ipi?
Kweli amewahi kutangaza , Tena kipindi cha siasa.Maskini Naibu Katibu Mkuu. Kama ulikuwa kwenye nyumba ya Serikali, Anza mipango fasta ya kuhama!?
Sasa ni wakati muafaka wa kuzi hakiki hizi Phd zinavyo pingana kweli Jiwe ni holder halali wa hiyo kitu? Jamani ata ethic ya hiyo kitu aliisomea? Au iyo kitu rusa kuropoka ropoka nashauri diognas ifanyike harakaWala hilo siyo la kuuliza! Ni mpumbavu na tangazo lake la kipumbavu!
Wee mjinga nini! Yani katoa hadi video ya hilo tangazo lakini bado huelewi! Hii nchi ina mazuzu balaa.Usiwe mjinga. Naibu Katibu mkuu anatoa tangazo kama nani? Anayetoa tangazo lolote ni katibu mkuu au mtu mwingine kwa niaba ya katibu mkuu wa wizara husika. Fake news
Vipi akikuongezea mshara kesho na kukupa malimbikizo yote, je utampa kura yako?
Ndiyo maana yake. Ave Maria Semakafu ni mpumbavu. Swali ni kwamba Jiwe alipomteua hakujua kuwa Semakafu ni mpumbavu?Kwamba Madam Dokta Ave Maria Semakafu Naibu katibu Mkuu wa wizara ndio MPUMBAVU?
Mkuu, tufafanulie hiyo kiki jinsi alivyoiandaa Lissu. Nadhani ni bora kuchutama maana taulo limedondoka.Kiki ya kibaraka Lisu imebuma
Zee halina busara hili na lidhalilishaji la wanawake kwa uwazi kabisa! Hivi alishindwa nini kumpigia huyo mama akapata ufafanuzi ya kile kinachoendelea? Nimemsikia hata Katibu mkuu wa wizara ya Elimu James Mdoe naye anasema hivyo hivyo kama alivyosema Dr. Ave Maria! Amewadhalilisha kwa kutaka sifa za kijinga! Tumpige chini tarehe 28/10/2020Sasa ni wakati muafaka wa kuzi hakiki hizi Phd zinavyo pingana kweli Jiwe ni holder halali wa hiyo kitu? Jamani ata ethic ya hiyo kitu aliisomea? Au iyo kitu rusa kuropoka ropoka nashauri diognas ifanyike haraka
Na hii video pia ni ya uongo
Hii hoja Lissu aitangaze kwa nguvu zote! Amesema hivyo kwa vile aliyesaini ni mwanamke! Mzee hafai huyu!Huyu jamaa anadharau sana wanawake...wanawake amkeni ..
Msemaji wa wizara ni nani?Huyo si msemaji wa wizara period
aya ya mwisho ni SUMU
Loolh.... Pole mkuu.Usiwe mjinga. Naibu Katibu mkuu anatoa tangazo kama nani? Anayetoa tangazo lolote ni katibu mkuu au mtu mwingine kwa niaba ya katibu mkuu wa wizara husika. Fake news