Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

Aliyesema tuna rais wa ajabu kupata kutokea alikosea wapi?
 
Serikali haiwasiliani!?
 
Katibu mkuu si naibu katibu mkuu. Ingalikuwa kwa niaba ya (KNY) au for; then tunaiamnini siyo kuweka naibu katibu mkuu. Inatakiwa kny katibu mkuu
Mzee acha kuzima moto wa petroli kwa dizeli πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu hapati kura yangu, ni miaka mitano sasa ninasubili mshahara Mpya, hata ile annual increment imekuwa shida. Kura yangu ni kwa Lissu tu.
wewe Na mama yako hata msipopiga kura, ushindi jpm alishapata kutoka smz Na kanda ya ziwaaaa
 
Hapa kuna kitu hapa si bure.. Walimu ngazi ya Cheti ni kujiendeleza tu.
 
Kwa hiyo tufuate maamuzi ya wataalamu wa serikali au ya mwanasiasa, haya ngoja tumsubiri na polepole ataongea nini..
Nyumba uliyofitinika haiwezi kusimama. Jiwe amechanganyikiwa, anatoa kauli tata inayomfitinisha na watendaji wake. Hatimaye ni nyumba kuanguka.
 
Huyu ndo Raisi wetu.. Hana mawasiliano na wizara zake... SASA HAJUI KAZI YAKE HUYU wanini...

Akapumzike Akashangae uwanja wake a CHARTTLE.
 
Soma vizuri waraka wa Wizara. Umezingatia yote uliyoyataja. Tatizo pengine ni kuwa Rais alidhani maamuzi ya wizara hayapendwi na yatampunguzia kura. Wizara imewatoa wasiwasi walimu wa cheti wa sasa kuwa wataendelea walivyo
 
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.
 
RAIS John Magufuli ametengua Maamuzi yaliyotangazwa na Naibu Katibu Mkuu Ave Maria Semakafu kuhusu kufutwa kwa mitaala ya Elimu kwa ngazi ya cheti.

Uamuzi wa Rais Magufuli umekuja saa chache baada ya Semakafu kutangaza mtaala mpya wa ualimu utaanzia ngazi ya Diploma, hata hivyo alisema kwa walimu waliopo mashuleni wataendelea na kazi na kupata muda wa kujiendelea kama watapenda.

Hata hivyo Rais Magufuli amepiga simu kwenye Kongamano la Walimu linaloendelea Mjini Dodoma ikiwa leo ni siku ya walimu amesema " Kuna tangazo linazunguka kuhusu kufutwa kwa mtaala ngazi ya cheti, lipuuzeeni, limetolewa na watu wabaya, tulianza na nyinyi tutamaliza na nyinyi.

" Mke wangu ni mwalimu ngazi ya cheti, mke wa Waziri Mkuu Majaliwa ni mwalimu ngazi ya cheti, tunawathamini, ndio maana tumetoa nafasi za ajira 13,000," amesema Magufuli

HabariLeo

Mimi ninavyojua tu hakuna 'Maamuzi' yanayofanyika bila 'ridhaa' ya 'Big Boss' ila inashangaza tena kuona 'Big Boss' anamgeuka Mtu wa chini yake.
 
Kwahiyo Dr avemaria ni mbaya wa Magufuli Sasa anasubiri Nini kujiuzulu? Adui wa amiri jeshi?
 
Simamisha huduma ya MV VICTORIA kisha irudishe!
- simamisha huduma ya treni njia ya Tanga, Moshi & Arusha kisha rudisha!
.
.
.
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Magufuli ni mshamba ile mbaya anafikili bado tupo enzi za miaka ya 1970 ambapo aliye kuwa na uwezo wa kuangalia tv alikuwa Nyerere peke yake. yaani hiyo anatengeneza tatizo halafu anakuja kulitatuwa ili aonekane kama superhero. akili ya kitoto kwelikweli. amewatuma watu waandike baruwa halafu baadaye aje aitenguwe ili walimu wamshagilie kuwa amewaokowa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…