Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya matangazo fake ya kutunga yapo mengi sana msikuze mambo.
Na hii video pia ni ya uongo
sio kupoteana huku!!!?
Tangazo feki kutoka kwa serikali feki ya ccm.Kesho anatumbuliwa!!
Hata mie nashangaa. Maana katika hali ya kawaida kwenye serikali yoyote najua uamuzi wowote wa kubadili sera huletwa kwenye baraza la mawaziri (ambapo rais ni mwenyekiti) ili lijadiliwe na kuridhiwa kabla ya kutekelezwa na wizara husika.Aiseh Elimu yetu IPO mashakani
Hivi inawezekanaje wizara iamue X walio nje ya wizara ambao kimsingi sio wataalamu waamue Y?...
Na hii video pia ni ya uongo
Na hii video pia ni ya uongo